DR Congo: Zoe Kabila ambaye ni mdogo wa Rais Joseph Kabila apigiwa kura ya kuondolewa nafasi ya Gavana

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Gavana wa Jimbo la Tanganyika ambaye pia ni mdogo wa aliyewahi kuwa Rais wa Nchi hiyo, Joseph Kabila, amepigiwa kura ya kuondolewa madarakani akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka

Zoe ambaye ameongoza Jimbo hilo kwa miaka miwili alikuwa Gavana pekee ambaye anakataa kumuunga mkono Rais Felix Tshisekedi. Huu ni mwendelezo wa hatua zinazochukuliwa na wafuasi wa Rais huyo kumzibia Joseph Kabila mianya ya madaraka

Desemba mwaka 2020, Rais Tshisekedi alimuondoa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo pamoja na wafuasi wote wa Kabila waliokuwemo Bungeni

====

Congolese President Felix Tshisekedi on Thursday struck a heavy blow against his predecessor and political rival Joseph Kabila as his allies ousted the governor of Tanganyika province.

It was the latest move by Tshisekedi's supporters to seize levers of power from Kabila, whose younger brother Zoe Kabila has run the southeastern territory for the last two years and was the only governor refusing to align himself with Tshisekedi.

In October, Tshisekedi appointed three judges to Democratic Republic of Congo's constitutional court, the first in a series of manoeuvres that unshackled him from Kabila, then his coalition partner.

Tshisekedi formed a new coalition in December and went on to remove Kabila’s allies at the head of both houses of parliament, along with the prime minister.

On Thursday, 13 lawmakers in Tanganyika voted to oust Zoe Kabila, while another 10 were not present, and none voted against, said Nkulu Nemba, president of the local assembly.

They accused Zoe Kabila, among other things, of bad governance and misappropriating $1.9 million of unpaid salaries and other funds, according to the motion. Zoe Kabila declined to comment on the allegations.

"We had the presence of a strong governor instead of having a strong government," said Cyrille Kimpu, the provincial assembly's rapporteur.

Roughly the size of England, Tanganyika province often witnesses violent clashes between its different communities, driven by social tensions and land disputes.

"The governorship is of course a very important position, politically and for economic interests," said Onesphore Sematumba from the International Crisis Group, noting that the next presidential election was only two years away.

"I think this is being done with an eye on 2023."

Source: Reuters
 
Huwezi ukampa basha alale na wanao chumba kimoja
Ukicheka na manyani utavuna mabua
 
Anachofanya ni kuwagawa wakongo na anaweza kujitengenezea uasi bilia kujua. Angejifunza yaliyomkuta rais wa Chad, Sudan Misri na kwingineko. Kongo ina makundi mengi ya waasi,badala ya kuwaunganisha anaongeza idadi. Na wanaopora mali za kongo wanafurahia hayo mambo.
 
Huwezi kuunganisha waasi wa Congo, wale wapo kimaslahi sio kisiasa, kumbuka waasi hawajaanza kipindi chake. Tayari kuna mikoa miwili ipo chini ya Amri ya jeshi, hopeful wakifanikiwa wataendelea kwenye mikoa mingine yenye vurugu za waasi.
 
Mtupe dondoo chache ushetani wa Rwanda kwa Congo ni upi,nauliza kwa wema tu tusiojua tujue?
Tatizo lilianzia kwa Mzee kabila, jeshi lake lilikuwa na vitoto vingi vya kinyarwanda, hivo waliamini kuwa wangekuwa sehemu muhimu ya utawala mambo yakabuma, ndio vikaanza uasi mkubwa ukiambatana na tamaa ya zile mali pale Congo, hapo ndipo ndugu yao Kagame alipoingia kuwasaidia maana mali ilikuwa nje nje
 
Back
Top Bottom