Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,238
Jesca: Mwalimu mimi nataka
nisome form six kwani hii form 4 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Jesca: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule.
Mkuu kaitisha interview na jesca. Maswali ni haya....
Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 157 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi?
Jesca: Yatabaki 156.
Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka tembo
kwenye friji.
Jesca: Unafungua friji unamuweka tembo kisha unafunga.
Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka nyani
kwenye friji.
Jesca: Unafungua friji unamtoa tembo ulemuweka..unamueka nyani kisha unafunga friji.
Mwalimu: Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro mmoja. Ni nani na kwa nini?
Jesca: Ni nyani kwa sababu tumemuweka
kwenye friji.
Mwalimu: Bibi kizee amevuka mto unaokuwaga na mamba na viboko wakali, aliwezaje?
Jesca: Aliweza kwani mamba na viboko nao walienda kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa simba.
Mwalimu: Ingawa bibi kizee alivuka mto, baadae alikufa. Unadhani kwa nini?
Jesca: Alidondokewa na lile tofali tulotoa kwenye ndege na kutupa chini.
Mwalimu mkuu: Mwalimu "Huyu Mtoto
akasome UDOM........"