Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
What's Zanzibar's Share?
Tanzania has issued a call for bids from consultants to help it find the right formula to share out oil revenue between the federal government and the regional administration of Zanzibar.(...).
President Kikwete's close guard
President Jakaya Kikwete has progressively surrounded himself with a team of loyal supporters: apparatchiks from the government party Chama cha Mapinduzi (CCM), former colleagues from when he was minister for foreign affairs, or journalists that he took with him on his election campaign in 2005.(...).
Power struggle to supply airport fuel
In 2005 the Tanzanian authorities wanted to open the market for supplying aviation fuel at Dar es-Salaam airport to competition, up to then a monopoly held by British Petroleum (BP).(...).
1.(...).
A leg up for Hillal Hamad Hillal
A 2,900 square metre plot of land in the commercial centre of Dar es-Salaam has been sold for the sum of 440 million shillings (€248,000) to the head of the Tanzanian mining company El Hillal Minerals Ltd (EHM), although its value had been estimated at
The Kikwete dynasty in the CCM
President Jakaya Kikwete will naturally be present at the Chama cha Mapinduzi (CCM) party conference because he is the chairman of the governing party.(...).
Benjamin Mkapa's Portfolio
With his wife Anna Mkapa , former president Benjamin Mkapa discreetly turned his hand to business dealings when he was in office between 1995-2005.(...).
Joseph Kahama
An adviser to the Tanzania Chamber of Energy and Minerals , Joseph Kahama , has been named vice president of the Canadian firm Tanzanian Royalty Exploration Corp .(...).
..kama we ni mtu mvivu wa kufuatilia nyeti[najua wewe siye],basi hao jamaa ni kama shortcut!
..huwa wananusanusa vijihabari na kuunganisha na nyingine na kupata moja nzuri au inayovutia!
..magazeti ya thisday,kulikoni na mwanahalisi...hata mwananchi na tanzania daima huwa na news kama za hao jamaa.
..wao huzichambua zaidi na kutafuta sources nyingine kidogo. simply huwa hawana haraka ya kuandika habari!ndio maana zao huonekana credible zaidi!
..sasa,kwa bei hiyo watawapata mabalozi,waandishi wa nje,mashushushu wa nje,ngo zenye interest za kisiasa,n.k!
..hiyo bei ni kubwa!maybe kwa kuwa nao wanazinunua!
Game,
Nafikiri kama nimeelewa ni kwamba unalipa euro 250,au £175 au 300 US Dollar kwa mwaka baada ya kuchagua "subscription" yako kwa channel(nchi husika).
Nenda sehemu ya "Subscription" na usome hayo.
Hata hivo pi nafikiri habari hizi ni very sensitive kama za taasisi zingine kama "Africa-Confidential" ambao nao huitaji malipo kwa msomaji na sidhani kama wataruhusu kuzifuja mahala kwingine.
Sasa nafikiri ni "sensitive" kwa sababu wanaozisoma ni watu wenye "interest" ya wizi wa mali katika nchi za watu na wale wanaotoa habari walioko Tanzania(na ni waTZ wenzetu) na "source" zao pia wote ni wamoja.
Pia nafikiri wao wanajua kila kitu kuhusu nani atakuwa rais "in advance" na huanza kumfuatilia kwa kutoa biography na "takataka" zingine.
Kwa hio wametengeneza mfumo mzuri wa habari pamoja na database hio ambayo ndio unaiona, lakini makao makuu ni ....Paris!
Lakini nami naunga mkono kwamba tuzidi kungoja maoni zaidi.
Ahsante.
Kuwa sensitive sidhani kama ni sensitive hivyo lakini wao kama ONLINE MAGAZINE au jarida inabidi warudishie expenses zao ndio maaana nika suggest JF wanaweza wakachukua same approach na kwa kuanza kuingiza revenue ni kwa kuwalipisha hawa LURKERS ambao wana kuja kusoma bila kuchangia hiyo dola 10 ambayo itabidi waregister.
JF wanaweza kuendelea na Forum kama kawaida lakini kama kuna mtu akipost article nzima then sidhani kama kuna tatizo. Personally nilishawakuchukua baadhi ya articles zao na nikazipost humu na kwenye TERMS & CONDITIONS zao hawajakataza kuredistrubute
Mfano mimi nina access na contents zaidi ya 100 ambazo nyingi huwa wanataka watu wachangie kupitia kibaruani kwangu lakini hiii ya Indian Ocean na wale Africa confidential hatuja subscribe
Picha ya kwanza juu ni ni Rais jakaya kikwete akiwa atk pica ya pamoja na Al Noor Kassimu w pili kutoka kushoto,na wa kwanza kutoka kushoto ni Mrs janet Kahama, wa kwanza kulia ni Sir George Kahama na Mrs Alnoor Kassimu.
[/QUOTE]Joseph Kahama
An adviser to the Tanzania Chamber of Energy and Minerals , Joseph Kahama , has been named vice president of the Canadian firm Tanzanian Royalty Exploration Corp .(...).
Nadhani bora tusikilize maoni ya wengi then we will take it from there.
Kwa kuanza nadhani itabidi Admin awaban ma LURKERS ambao wamejiandikisha halafu hawajachangia kitu.Hiyo itakuwa ni njia nzuri ya kupata revenue. Itabidi wajiregister tena na kwa kulipa DOLA 10 ndio watapata full access ya JF otherwise wapewe limited access ya kuona Udaku na labda nyepesi nyepesi tu
Ndio maana ya desperate measures hiyo lakini hizo pesa inamaana JF inaweza ikawa na unlimited access ya articles toka Indian Ocean Newsletter
Mfano hiyo ya Mtoto wa KAHAMA naamini itakuwa very interesting kusoma lakini kwa kuanza nadhani bora tusikilize maoni ya wengi
No kwa maoni yangu binafsi sidhani kama niwazo zuri la kuanza kuchangisha watu hapa JF, kama wewe unataka hizo habari hapa unaweza kuomba watu wakuchangie ukazipata!
Au uliza watu wenye vipesa kidogo wanunue hizo habari na wakaziweka hapa badala ya kuanza kuchangisha watu hapa JF ili pesa ipatikane kulipia newsletters.
haya ni maoni yangu binafsi, uchangiaji na upatikanaji wa habari utakuwa tu kwa wale pesa ingawa unasahau kuwa JF inalenga pia watu walioko nyumbani na kipato cha watz wa kawaida huko ni dola 50 - 100 kwa mwezi mmoja!
its a good idea kuchangia lakini nyie mliopo ughaibuni kumbuka lifi lilivyo tight huku mascan, yaani mtu anajikusanya kweli kweli kupata buku moja ili aingie internet cafe kupata habari au kutoa duku duku lake kwenye JF sasa ikija hiyo la dola 10 sijui itakuwa kwa mwaka au mwezi naona wanachama watazidi kupumbua bila wao kupenda ila hali halisi itawalazimisha. anyway labda iwe hiari kuchangia ili isije kuleta gap btn those who haves and those who have not kama serikali yetu inavyofanya. Nimejaribu kutembelea hiyo web ya www.africaintelligence.com naona imejikita zaidi kufanya biashara ambalo siyo lengo letu hapa JF. anyway tusubiri maoni ya wengine.