Jinsi Habari Muhimu za Tanzania Zinavyopatikana kwa Bei Kubwa


Lakini nadhani bora wao kuliko KULIKONI na THIS DAY ambao nao huja kunyonya humu JF mwanzoni walikuwa hawasemi source lakini naona hiyo ya BUZWAGI wameamua kusema kuwa hiyo contract ipo humu JF!

nevertheless nadhani kwa wanaotaka kufuatilia PORTFOLIO YA MKAPA wanaweza kufurahia hizo habari kama zitakwepo humu

Pleez,overgeneralization sio kitu kizuri sana kama unataka hoja ibebe uzito unaostahili.Kufanya reference kwenye chanzo kingine cha habari sio dhambi alimradi mtumia reference akatamka bayana iwapo kuna umuhimu wa kufanya hivyo.Let's be honest,ThisDay/Kulikoni wameibua mambo mengi ambayo baadhi yetu tumekuwa tuki-copy na ku-paste hapa JF,kama ambavyo nao wanavyoipa heshima JF kuwa chanzo cha habari.How do you know kama baadhi members wa JF sio waandishi wa magazeti hayo?

Wazo la subscription ni zuri lakini linaweza kumwingiza mtu kwenye matatizo ya kisheria.Kama alivyosema mchangiaji mmoja,sidhani kama hao waungwana watakuwa tayari kuona bidhaa zao (taarifa zao za uchunguzi) zinashushwa thamani (in terms of price) kwa kuwekwa hadharani bure buleshi.
 
..Naona nimedandia mkuki ktk motion, anyway nimevutika na texts nilizoquote hapo juu.
Naamini kuwa labda bila JF pia leo mawaziri wasingezomewa huko waendako kuupaka uongo rangi. Na bila JF wengi wasingekuwa wadadisi kujua nini kinaendelea. Cha msingi ninachoshauri wakuu wa Jf ni kushirikiana na wanaJF makini ktk kutafuta wadhamini ili hatimaye sie walalahoi tusiokuwa na uhakika wa mlo mmoja tusitozwe. Au labda sijamwelewa dasilamu kuwa kuchangia huko ni kwa namna gani??

JF idumu na iendelee kukomboa fikra za watanzania watoke ktk mzingo wa kutofahamu yanayotokea.....

..hiyo uliyoi-quote inasomeka...hawa wanaoingia hapa bure..kuchangia ni muhimu...!
 
Back
Top Bottom