Jinsi gani ya Kutambua Simu OG?

Jinsi gani ya Kutambua Simu OG?

Wapendwa, mwenye kujua naomba anisaidie jinsi ya kutambua mambo yafuatayo kwenye simu ya Samsung M31S.

1. KUWA ni mpya na haijawahi kutumika
2. Ni original
3. Used au
4. Refurbished/Copy

Tafadhali nisaidieni maana nahitaji kuinunua nisije pewa FAKE
Mkuu ni combination ya mambo mengi sana.

1. Kama ni original ama la Nenda playstore download cpu z itakuonesha soc ya simu husika, Nenda gsmarena Angalia hio soc ni yenyewe?

2.kuhusu used/refurbished unaweza Angalia idadi ya michomeko ya Chaja ama earphone. Sema simu na simu zinatofautiana nyengine zinahitaji root nyengine zinaonesha tu,

Mfano wa apps ni kama phone info ina cheki Samsung.
 
Mkuu embu ielezee vzr iyo number 2 ,, unafanyaje kujua idadi ya michomeko

Natumia Xiaomi
Mkuu kwanza xiaomi ni kama hazina refurb, kama zipo ni chache Sababu hazipatikani kwenye makampuni makubwa ya mitandao ya simu kina Docomo, Verizon etc.

Hio app ya phone info ni ya samsung, ila manual kama Una root tumia file manager jaribu kwenda folder la Root Kisha Nenda efs Kisha factory app.
 
Xiaomi wanayo ya kwao ngoja nikiipat kwa makablasha yangu nitakutumia
 
Mkuu ni combination ya mambo mengi sana.

1. Kama ni original ama la Nenda playstore download cpu z itakuonesha soc ya simu husika, Nenda gsmarena Angalia hio soc ni yenyewe?

2.kuhusu used/refurbished unaweza Angalia idadi ya michomeko ya Chaja ama earphone. Sema simu na simu zinatofautiana nyengine zinahitaji root nyengine zinaonesha tu,

Mfano wa apps ni kama phone info ina cheki Samsung.
Ahsante mkuu
 
Kwa hiyo mkuu inabidi Muuzaji anikubalie kwanza ni install hiyo cpu z na phone info? Vinginevyo hakuna!
 
Back
Top Bottom