Jinsi gani ya kupata five star rating katika facebook.

Jinsi gani ya kupata five star rating katika facebook.

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,819
Nataka kujua jinsi gani ya kupata five star rating katika facebook page.
Je, ninatakiwa kuwa na like ngapi mpaka nipate five star?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]
 
Hiyo page inahusu nini? Ipo kwenye category gani? Maana page za biashara, tv channels,bidhaa, apps na radios ndo zinapewa feature ya REVIEW with stars. Siyo page zote zinapewa Review.
 
Back
Top Bottom