B bigmukolo JF-Expert Member Mar 6, 2012 597 2,225 Jul 26, 2012 #1 mi nimechoka kuishi tz coz hakuna fursa yoyote ile na siasa inaanza kuleta vurugu.... sasa mwenye uelewa anijuze taratibu za kufuata wakati wa kuomba hifadhi za kisiasa especially napenda ujerumani canada japan au australia,,,,,nawakilisha
mi nimechoka kuishi tz coz hakuna fursa yoyote ile na siasa inaanza kuleta vurugu.... sasa mwenye uelewa anijuze taratibu za kufuata wakati wa kuomba hifadhi za kisiasa especially napenda ujerumani canada japan au australia,,,,,nawakilisha
Mwiba JF-Expert Member Oct 23, 2007 7,607 1,744 Jul 26, 2012 #2 Itabidi ukurupushane na serikali hata ukiweza upange njia za kutaka kuipindua japo feki,kisha ukimbie nje ya nchi.
Itabidi ukurupushane na serikali hata ukiweza upange njia za kutaka kuipindua japo feki,kisha ukimbie nje ya nchi.