Jinsi gani ya kuficha location yangu kwenye simu?

Duh !!!! Kutukana kwenye simu sio fresh maana kun a lot of evidence na mahakama inakutia hatiani,just cool down tuma watu wakaongee nae then mfate ukaombe msamaha yaishe. Utajificha ficha mpaka lini ? Omba msamaha,kwani sh ngapi au utapungukiwa na nini ???
 
Wanaweza kukupata kwa njia 2:
  1. GPS kama una smartphone
  2. Minara ya simu.
Kwa suala la GPS, weka location off hivyo Google map haitafanya kazi. Kwa suala la minara, hapo hapakwepeki mpaka uweke airplane mode au uzime simu.

Njia zote mbili haziwezi kukukamatisha sababu miji yetu haijapangiliwa, hakuna barabara wala mitaa. Pia GPS inayotumika kwenye simu ina precision ndogo sababu ya privacy. So relax, wangekuwa na uwezo wa kukufikia exactly ulipo, wasingekutumia ujumbe kukujulisha ulipo. Kupitia minara, wanajua ulipo kwasababu mawasiliano yako yanatumia mnara wa karibu na ulipo. Hivyo wanaweza kujua upo sinza lakini wasijue uko sinza kwa remmy.

Nini ufanye? Zima simu na ondoka mahali ulipo au ondoka mahali ulipo nenda sehemu nyingine na uzime simu halafu urudi ulipokuwa. Kwakuwa simu ina unique IMEI ambayo inajulikana kwa makampuni ya simu na hivyo polisi wanaijua, usiweke line mpya kwenye hiyo simu maana itajulikana umeweka line mpya kwenye simu uliyofanyia uhalifu. Kuwa makini na namba ngeni. Usikubali kuweka miadi na mtu kwa simu kama humfaham au humuamin.

Mwisho, kama unakiri kwamba una makosa, kuwa muungwana, omba msamaha ili yaishe.
 
Njia pekee ni ku-destruct simu na line. Halafu uanze upya tena kwa usajili mwingine wa line otherwise watakusoma ulipo hata ukitoa line.

Suluhu nzuri zaidi ni kumtafuta mbaya wako myamalize hasira zikipoa. Ila kama avatar yako ndo ulivo! basi itakua chanzo cha ugomvi wenu. Kua makini
 
Wanaweza kukupata kwa njia 2:
  1. GPS kama una smartphone
  2. Minara ya simu.
Kwa suala la GPS, weka location off hivyo Google map haitafanya kazi. Kwa suala la minara, hapo hapakwepeki mpaka uweke airplane mode au uzime simu.

Njia zote mbili haziwezi kukukamatisha sababu miji yetu haijapangiliwa, hakuna barabara wala mitaa. Pia GPS inayotumika kwenye simu ina precision ndogo sababu ya privacy. So relax, wangekuwa na uwezo wa kukufikia exactly ulipo, wasingekutumia ujumbe kukujulisha ulipo. Kupitia minara, wanajua ulipo kwasababu mawasiliano yako yanatumia mnara wa karibu na ulipo. Hivyo wanaweza kujua upo sinza lakini wasijue uko sinza kwa remmy.

Nini ufanye? Zima simu na ondoka mahali ulipo au ondoka mahali ulipo nenda sehemu nyingine na uzime simu halafu urudi ulipokuwa. Kwakuwa simu ina unique IMEI ambayo inajulikana kwa makampuni ya simu na hivyo polisi wanaijua, usiweke line mpya kwenye hiyo simu maana itajulikana umeweka line mpya kwenye simu uliyofanyia uhalifu. Kuwa makini na namba ngeni. Usikubali kuweka miadi na mtu kwa simu kama humfaham au humuamin.

Mwisho, kama unakiri kwamba una makosa, kuwa muungwana, omba Mwanana ili yaishe.
MKUU HATA MIMI NASHANGAA, ETI WAMENITUMIA MSG INAYOONESHA LOCATION MAENEO YOOTE NILIOPO. SASA SI WANGEKUJA??? ILA WAMENAMBIA ETI NIFIKE POLICE HADI JIONI NIWE NIMEFIKA TAYARI
 
njia rahisi ni kujishusha tu na kuomba msamahaa wamama hawanaga shida sana kwny kutoa msamaha lakn ukiendelea kumkimbia wamama wanachaneli na maaskali wengi hvyo watakudaka tu
 
Habari wanajamvi wenzangu,

Nimepatwa na matatizo kidogo naomba msaada wenu wa haraka sana. Week kama moja iliopita nilikuwa na ugomvi na mtu ikapelekea nikamtukana sana na pia nilimwambia maneno ambayo akitumia sheria atanifunga.

Sasa huyo mama kaenda police kafungua kesi, nikaitwa sikwenda, alichokifanya katafuta wataalam wa IT leo eti wameanza kunitrack ili wanikamate, na sasa hivi wamenitumia Location zangu za leo tangu asubuhi nilikuwa wapi na wapi wamenitumia, naombeni mnisaidie jinsi ya kufanya ili ku-hide location. Wakinitrack wasinione tena. Wamenitrack kupitia google map.

Plz naombeni sana mnisaidie

Mkuu kama kumbukumbu zangu bado zipo timamu, nakumbuka ulituambia una kitu chenye ncha kali? Iweje leo uogope watu? Ref; Namna gani ya kutunza bastola?
 
utakuja kudwakwa kirahisi sana. Ukitaka zima hiyo simu milele au lah nenda kaombe msamaha tu yaishe, ni rahisi kumsamehe mtu aliyekutukana maana matusi sio kama mtu umempiga ngumi au umemwibia hela ni rahisi kusamehe
 
Habari wanajamvi wenzangu,

Nimepatwa na matatizo kidogo naomba msaada wenu wa haraka sana. Week kama moja iliopita nilikuwa na ugomvi na mtu ikapelekea nikamtukana sana na pia nilimwambia maneno ambayo akitumia sheria atanifunga.

Sasa huyo mama kaenda police kafungua kesi, nikaitwa sikwenda, alichokifanya katafuta wataalam wa IT leo eti wameanza kunitrack ili wanikamate, na sasa hivi wamenitumia Location zangu za leo tangu asubuhi nilikuwa wapi na wapi wamenitumia, naombeni mnisaidie jinsi ya kufanya ili ku-hide location. Wakinitrack wasinione tena. Wamenitrack kupitia google map.

Plz naombeni sana mnisaidie
njia pekee ya uhakika ni kuchange ime but ukimatwa miaka 10 jela kiufupi badilisha simu
 
badili ime but kuwa makini sana coz ni against sheria za nchi den change line hapo ushawapoteza
 
Back
Top Bottom