Jinsi gani ya ku-upgrade Samsung s3 mini kutoka version 4.1 kwenda version 4.3

Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Guyz mm natumia Samsung S3mini ambayo inatumia Android version 4.1.2 then mm nataka ni install 4.3 ila cjui nifanyaje ili niweze fanya hvyo so plz help me.
 
root simu yko kwanza kisha hapo utaweza kuweka custom rom ya kitkat au android version yoyote unayotaka
 
Root cm yako kisha weka cwm kama custom recovery kisha custom rom yake kisha weka kwenye sd card flash
 
download odin Odin v3.09 kisha kies http://downloadcenter.samsung.com/content/SW/201406/20140602115430611/KiesSetup.exe kisha download CWM T_CWM_6.0.4.4_I9300 intall kies ikimaliza kisha weka cm yako kwenye download mode kisha connect fungua odin sehemu ya AP weka recovery uliyodownload kisha Start ikimaliza simu yako itareboot kisha weka simu yako in recovery mode kisha wipe/factory reset kisha ingia mount and storage kisha format system ukimaliza rudi back ingia advanced wipe delvic cache kisha rudi back ingia install update from sd card kisha chagua hyo rom flash ukimaliza flash na gaaps kisha reboot system ROM http://oss.reflected.net/jenkins/85102/cm-11-20140927-NIGHTLY-i9300.zip na gapps http://gapps.itvends.com/gapps-kk-20140606-signed.zip
 
Khalfan56,S2-19100 tayari nimeroot kwa frama-root aragon,j nawezaje kuruka na hio custom rom ili name niende mwendo wa kitkat?
 
Check hii www.androidveterans.com/root-galaxy-s2-i9100-install-cwm-recovery/
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom