Jinsi gani ya ku unlock htc? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi gani ya ku unlock htc?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Steven Robert Masatu, Sep 10, 2012.

 1. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,396
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Wakuu nina HTC, OS yake ni ya android nililetewa na my friend kutoka spain, ni special product za vodafone. nikiwasha au kuizima inaonyesha ile logo ya voda fone. nimejaribu kuweka line ya mtandao mwingine ikakata kurespond network, nikaweka line ya voda ikaleta message kwamba ipo locked by the operator niingize code or niwaliliane na customer care.

  nimeona niilete humu kama naweza saidiwa kuunlock.
   
Loading...