Jinsi gani ya Ku-root Blackberry curve ?

Jinsi gani ya Ku-root Blackberry curve ?

Msaada: Mbina ya kusajili data bundle ya kawaida badala ya BIS kwa watumiaji wa Blackberry.
 
kaka maybe huelewi maana ya root.

unaposema root kiswahili ni mzizi na kwenye simu root ni mahali mafolder yanapoanzia.

kwenye android huwa mtu unaruhusiwa kufungua folder moja tu linaitwa sdcard mafolder mengine hayaonekani kama vile folder la system na data. hivyo mtu anaroot ili apate access ya hayo mafolder na kuweza kumodify kadri anavyotaka mwenyewe.

simu za zamani kama blackberry na symbian unaweza ku access folder zote hadi za system kwa kuinstall file manager tu kama xplore ukayaona hayo mafolder. hivyo hazihitaji kuroot. sasa wewe ukisema unataka kuroot bb wakati tayari ipo open ni kama mlango upo wazi halafu unatafuta jiwe uvunje mlango ili uingie ndani.
Ase ninashukuru kwa maelezo yako mazuri na samahani kwa kukujibu vile hii ni kutokana na baadhi ya watu humu ukiomba msaada wanajibu kwa kejeli. kiukweli kuhusu kuroot simu nilikua sifaamu nikawahi kuuliza humu lakini sikujibiwa ndipo nikaamua kuuliza kwa blackberry humu ndipo nkaanzwa kuelezwa
 
Same problem. Nashindwa kudownload apps blackberry curve 9300. Inadai email na password. Aliyeniuzia kasahau password yake
ikiwa hauna cha kupoteza kama message,picha,contacts and media files,fanya kama ulivyoelekezwa hapo chini,ila kama hutaki kupoteza kitu njoo nikufanyie backup kabla ya kuwipe,then ukirestore message kila kitu chako kitarudi kwa jinsi kilivyo na utaweza kufungua ID mpya.au kama una Blackberry software unaweza fanya mwenyewe,the same as in iphones
 
Samahani jamani nilikua na bb 9800 ya vodafone nikafungua email ya voda sasa nimebadili nina bb9780 sasa tatizo nikifungua email kwenye hii simu mpya inanitaka password za email ya voda ambako kwenye hii mpya hazikubali,nimewipe sana ila still bado nikifungua email inafunguka kwanza ile ya voda nami nataka niweke aCcount yangu yahoo mail,plsss nisaidien tafadhari
 
Back
Top Bottom