Ndiyo maana hata mimi nimemuuliza hayo maswali mawili hapo juu. Kama anajilipia hakuna tatizo tena nitamuunganisha na watu wa admission na kumpatia info zote anazohitaji.Kwa ulichokisoma A-level mdogo wangu anza tu kutafuta hela uendeshe maisha yako!
Hakuna sponsor atakufadhili ukasome kozi za sanaa labda awe nduguyo.
Nisikuvunje moyo sana kuna shirika la ki-israel (lakidini) kila mwaka hufadhili wanafunzi kwenda Minnesota kusoma na mimi ni mmoja wa wanufaika.
Kwa taarifa zaidi usinijie PM nenda SUA utapata taarifa zote kuwahusu na huenda ukawa na nyota ukafanikiwa licha ya sanaa yako.
Ndio sponsor yupo anaishi hapo FLORIDA ndo maana nkapendekeza hyo state by the way nataka nkasomee diploma either masomo ya biashara ama political scienceUna sponsor au unajilipia mwenyewe? (wastani wa dola 40, 000 kwa mwaka)
Unataka kuja kusomea nini?
Ukinijibu kwa haya nitakupa mwongozo wote...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini huyo sponsor asikulipe ada usomee hapahapa bongo uanze diploma ya masomo ya biashara?Ndio sponsor yupo anaishi hapo FLORIDA ndo maana nkapendekeza hyo state by the way nataka nkasomee diploma either masomo ya biashara ama political science
Acha izo banakwanini huyo sponsor asikulipe ada usomee hapahapa bongo uanze diploma ya masomo ya biashara?
Alafu pia usisomee political science, soma biashara itakufungua angalau akili hata ya kuendesha maisha yako political sayansi itakufanya uwe mpiga kelele tu.
Kama ni hivyo sawaAcha izo bana
Shida siyo kUsoma ni kwenda marekani kule fursa nyingi
Hapana Nahmala sipo Minnesota kwa sasa nilirejea Tanzania wakati Corona ndio imeanza kupamba moto.Ndiyo maana hata mimi nimemuuliza hayo maswali mawili hapo juu. Kama anajilipia hakuna tatizo tena nitamuunganisha na watu wa admission na kumpatia info zote anazohitaji.
Bado uko Minnesota mkuu? Libaridi hilo limewaanza. Niliwahi kufika huko wakati wa Winter nikakimbia asubuhi na mapema na kuapa kutorudi tena. Si kwa baridi ile aisee. Yaani makende mpaka yanapotea duh !
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekukamata leo kumbe upo huko[emoji3]?Ndiyo maana hata mimi nimemuuliza hayo maswali mawili hapo juu. Kama anajilipia hakuna tatizo tena nitamuunganisha na watu wa admission na kumpatia info zote anazohitaji.
Bado uko Minnesota mkuu? Libaridi hilo limewaanza. Niliwahi kufika huko wakati wa Winter nikakimbia asubuhi na mapema na kuapa kutorudi tena. Si kwa baridi ile aisee. Yaani makende mpaka yanapotea duh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo lengo hiloAcha izo bana
Shida siyo kUsoma ni kwenda marekani kule fursa nyingi
Nlmaanisha olevel na advancePrimary ulipata division two au sijaona vizuri?
Bongo naeza jilipia mwenyew na kuwalipia wengine ata watatukwanini huyo sponsor asikulipe ada usomee hapahapa bongo uanze diploma ya masomo ya biashara?
Alafu pia usisomee political science, soma biashara itakufungua angalau akili hata ya kuendesha maisha yako political sayansi itakufanya uwe mpiga kelele tu.
Aaa wapi. Sijakanyaga huko zaidi ya miaka 10. Njoo Bupandagila twende Dutwa mnadani tukale nyama za kuchoma mkuuNimekukamata leo kumbe upo huko[emoji3]?
Heshima gani?Hongera sana kama utafanikiwa kwenda kusoma florida, maana kuwa gator ama seminoles ni heshima kubwa...
Ahaa ngoja nijipange.Aaa wapi. Sijakanyaga huko zaidi ya miaka 10. Njoo Bupandagila twende Dutwa mnadani tukale nyama za kuchoma mkuu
Shukrani mkuu ngj nifanye maandalizi mapemaHongera sana kama utafanikiwa kwenda kusoma florida, maana kuwa gator ama seminoles ni heshima kubwa...