mtungutu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 296
- 57
Wadau nina tatizo ktk computer yangu desktop-dell, partition mojawapo imepoteza files zote (hazionekani). Nikiangalia properties naona imetumika (used space). Nimejaribu kuangalia TOOLS ili nicustomize folders naona kila kitu kipo sawa. Tatizo lilianza kwa kublink na sometimes local disk hiyo ilikuwa inachelewa kufunguka baadae ndiyo ikaficha kabisa files. Naombeni msaada jamani.