Y young frowin New Member Joined Aug 14, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Aug 14, 2014 #1 namna gan naweza ku uptodate graphic driver kwa pc!!msaada wenu jamani
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Aug 14, 2014 #2 taja aina ya pc yako
autorun255 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 1,105 Reaction score 364 Aug 14, 2014 #3 Right click my computer or computer icon Chagua manage Kuna dirisha la Computer management litatokea Upande wa kushoto chagua device manager Drivers zitatokea katkati ya dirisha hilo Right click kwnye item ya kwanza ambayo ni jina la user Chagua scan for hardware changes Note: fanya hivyo ukiws tayari umeunganisha pc kwenye internet. Pia unaweza ku update drivers moja moja , ichague hio driver Chagua update driver software. Kumbuka kutoa mrejesho ukifanikiwa .
Right click my computer or computer icon Chagua manage Kuna dirisha la Computer management litatokea Upande wa kushoto chagua device manager Drivers zitatokea katkati ya dirisha hilo Right click kwnye item ya kwanza ambayo ni jina la user Chagua scan for hardware changes Note: fanya hivyo ukiws tayari umeunganisha pc kwenye internet. Pia unaweza ku update drivers moja moja , ichague hio driver Chagua update driver software. Kumbuka kutoa mrejesho ukifanikiwa .