Jinsi elfu ishirini ilivyonikosesha utelezi

Jinsi elfu ishirini ilivyonikosesha utelezi

Tusichoshane maisha magumu siku hizi.
Wakati Messi na Mbappe wanatikisa nyavu huko Qatar, nikasema nami nisiwe mzembe nami nitikise nyavu za mke wa jirani yangu ili niongeze uzoefu.

Ilikuwa siku ya juzi nikatimba kwake huyu mama nikaanza kujiongelesha habari za hapa na pale hatimaye nikaomba namba nikapewa halafu nikaondoka zangu. Baadaye nikampigia nikamtongoza akaingia laini vizuri tu na hapa ndipo picha linapoanzia.

Nikamwambia mama Julianus(sio jina lake) nahitaji unipe mbususu leo mida ya jioni maana nina ny*g* balaa, akasema wala hilo halina shida ipo imejaa tele nami mambo mazuri si ndiyo hayo.

Baadaye akaniuliza utanipa shilingi? Nikamjibu mimi nina ten maana kwanza leo nataka nipige kamoja tu kakizembe. Majibu aliyonipa ni kuwa hawezi kutomb*n* na jirani kwa ten. Na kwenye maongezi nikagundua huyu bibi dada anajiuza.

Elfu 20 kwangu wala sio tatizo sema ana sura ya baba ila ana katrako fulani hivi amaizing ndicho kilichonivutia kwake na sina hata chembe ya upendo kwake sema tamaa zangu tu na hadhi yake ni hiyo elfu kumi basi.

Nimeona ameendelea kukomalia twenty basi nami nimeamua nimweke kando kwanza labda kama itatokea nina ugwadu wa CHAPUTA ndiyo nitampatia hiyo 20.

Uzuri mme wake huwa anasafiri kikazi hata mwezi mzima hayupo kwahiyo ni kama yupo free muda wowote hata muda huu yupo free na kama ataendelea kushikilia msimamo naweza kuipiga mbususu yake na nisimpe hata mia shenzi zake kabisa **** apewe bure halafu anaiuza kwa bei ya kizungu wakati mimi ni mtanzania mwenzie.

Au hapo nimefanya kosa la kiufundi wanaume wenzangu?
Hivi umerudia kusoma ulichokiandika?Unajisifu kwa miujinga?Kutaka kutembea na mke wa mtu ni jambo la kuanzishia uzi?Mpumbavu weye!
 
Tunachokijua
emoji116.png
emoji116.png

wewe hunahela
emoji1.png
emoji2.png
Kwa kweli. Yaani 20 inampa ukakasi kuitoa??!
 
Vijana wa aina hii wanamchango mdogo sana katika taifa.

#MaendeleoHayanaChama
 
* apewe bure halafu anaiuza kwa bei ya kizungu wakati mimi ni mtanzania mwenzie.
[emoji23]
 
haya ndio mawazo ccm na jf moderator wanapenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom