Ngoja tuone kama Jakaya ataweka pembeni majungu,chuki na Fitina, ya miezi kadhaa ilopita na kutanguliza Utu kwanza,tusubiri tuone.pengine atatuma salamu za rambirambi kwa Uhuru Kenyatta soon.Tanzania tumeshindwa hata kutos pole Tu? As if hatuna ndugu huko???
mi nawaza hata sipati jibuWaislamu wabadilishe fikra zao juu ya visasi na zile fikra za kuipigania dini Yao!!
bila kisasi binadamu hawezi kujifunza madhara ya ubaya au dhuruma,nyie mna dini yenu nasi tuna dini yetuWaislamu wabadilishe fikra zao juu ya visasi na zile fikra za kuipigania dini Yao!!
jibu utalipata tu we endelea kusikilizia.....nafsi zote zina'thamani sawa,mtaelewa tu.so sad jamani. roho inaniuma....hivi ndugu zetu waislam tatizo ni nn?
maana somtym nawaza hata sipati jibu
bila kisasi binadamu hawezi kujifunza madhara ya ubaya au dhuruma,nyie mna dini yenu nasi tuna dini yetu
kwanini wanaua watu wasio na hatia? mnaiharibu amani ya wengine sababu ya mioyo iliyojaa chuki ni mungu gani huyo anaewaongozabila kisasi binadamu hawezi kujifunza madhara ya ubaya au dhuruma,nyie mna dini yenu nasi tuna dini yetu