Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
[h=3][/h]
Septemba 21, ni tarehe ambayo Kenya haitaisahau kamwe. Ni baada ya kundi la wanamgambo wa Al-Shabab lilipoishambulia mall ya Westgate maarufu kwa kuwa na wateja matajiri jijini Nairobi na kuwashikilia watu mateka, kuwaua na kuwajeruhi wengine.
images

Mwanamke-aliyekuwa-amejeruhiwa-akiomba-msaada.jpg

Mwanamke aliyejeruhiwa akiomba msaada
Familia-ikiwa-imeshikana-mikono-wakati-ikitoka-nje-ya-eneo-la-hatari.jpg

Familia ikiwa imeshikana mikono wakati ikitoka nje ya eneo la hatari

article-2427892-182485E800000578-152_964x631.jpg
130921145130-25-kenya-mall-restricted-horizontal-gallery.jpg
130921103725-07-kenya-mall-horizontal-gallery.jpg

Mashuhuda wanasema watu hao waliokuwa na silaha, wakiwa na nguo nyeusi na vichwa vyao vikifunikwa na vilemba waliingia kwenye mall hiyo ya Westgate jana mchana. Mpaka sasa, idadi ya watu walioshikiliwa mateka ndani ya mall hiyo haijajulikana.
Mama-na-wanae-akiwa-amejificha-kuhofia-kuuawa-na-watu-hao-makatili.jpg

Mama na wanawe akiwa amejificha kuhofia kuuawa na watu hao makatili
Mfanyakazi-wa-Red-Cross-akimbeba-mtoto-aliyekuwa-ndani-ya-mall-hiyo.jpg

Mfanyakazi wa Red Cross akimbeba mtoto aliyekuwa ndani ya mall hiyo
Mtoto-akikimbia-kuokoa-maisha-yake.jpg

Mtoto akikimbia kuokoa maisha yake
Mtoto-akiwa-nje-baada-ya-kutolewa-ndani-ya-mall-pembeni-ni-mwili-wa-mtu-aliyeuawa.jpg

Mtoto akiwa nje baada ya kutolewa ndani ya mall, pembeni ni mwili wa mtu aliyeuawa
Zaidi ya watu 40 wameripotiwa kuuawa na zaidi ya 162 wakijeruhiwa.
Mtu-na-mpenzi-wake-waliouwa-kwa-pamoja-na-wanamgambo-hao.jpg

Mtu na mpenzi wake waliouwa kwa pamoja na wanamgambo hao
Mwanamke-akilia-kwa-woga-baada-ya-kuokolewa-na-askari.jpg

Mwanamke akilia kwa woga baada ya kuokolewa na askari
Mwanamke-aliyejeruhiwa-akitolewa-nje-kwa-kubebwa-kwenye-toroli-la-kufanyia-shopping.jpg

Mwanamke aliyejeruhiwa akitolewa nje kwa kubebwa kwenye toroli la kufanyia shopping
Mwanamke-aliyekuwa-ameshikiliwa-mateka-akiwa-haamini-baada-ya-kuachiwa.jpg

Mwanamke aliyekuwa ameshikiliwa mateka akiwa haamini baada ya kuachiwa
Maafisa wamesema watu hao wamebananishwa na kwamba watu wameshikiliwa mateka kwenye maeneo mbalimbali. Al-Shabab imeliambia shirika la habari la Uingereza BBC kuwa limefanya shambulio hilo kujibu opereshini za kijeshi za Kenya zinazoendelea nchini Somalia. <img src="http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/09/Mwanaume-aliyejeruhiwa-akilia-kwa-uchungu-kutokana-na-maumivu-makali-baada-ya-kupigwa-risasi-ya-mguu.jpg" alt="Mwanaume aliyejeruhiwa akilia kwa uchungu kutokana na maumivu makali baada ya kupigwa risasi ya mguu" width="600" height="400" class="aligncenter size-full wp-image-57459" Mwanaume aliyejeruhiwa akilia kwa uchungu kutokana na maumivu makali baada ya kupigwa risasi ya mguu
Ofisa-wa-usalama-na-wenzake-wakielekezana-na-wenzake-mahali-walipo-watu-hao-wenye-silaha.jpg

Ofisa wa usalama na wenzake wakielekezana na wenzake mahali walipo watu hao wenye silaha
Polisi-akisaidia-kumtoa-mtoto-aliyekuwa-ndani-ya-mall.jpg

Polisi akisaidia kumtoa mtoto aliyekuwa ndani ya mall
Polisi-na-wanajeshi-wakipambana-na-magaidi-hao.jpg

Polisi na wanajeshi wakipambana na magaidi hao Mashuhuda wengine wamedai kuwa wanamgambo hao waliwaambia waislamu waondoke na wabaki waumini wa dini zingine. “Walifika na kusema: ‘Kama wewe ni muislamu, simama. Tumekuja kuwaokoa,” Elijah Lamau aliiambia BBC. Alisema waislamu waliondoka wakiwa wamenyoosha mikono juu na kisha watu hao wakawapiga risasi watu wawili.
Polisi-wa-Kenya-akiwa-ameshika-tumbo-lake-baada-ya-kujeruhiwa-huku-mwenzake-akiendelea-kurushiana-risasi-na-magaidi-wa-Al-Shabab.jpg
Polisi wa Kenya akiwa ameshika tumbo lake baada ya kujeruhiwa huku mwenzake akiendelea kurushiana risasi na magaidi wa Al-Shabab
Polisi-wakiingia-ndani-ya-mall-hiyo-kupambana-na-wana-mgambo-wa-Al-Shabab.jpg
Polisi wakiingia ndani ya mall hiyo kupambana na wana mgambo wa Al-Shabab
Polisi-wakipambana-na-Al-shabab.jpg
Polisi wakipambana na Al-Shabab
Rais-wa-Canada-Annemarie-Desloges-29-aliuawa-kwa-risasi-na-magaidi-hao.jpg
Raia wa Canada Annemarie Desloges, 29, aliuawa kwa risasi na magaidi hao
Wanajeshi-walimwaga-kwenda-kusaidia-kupambana-na-watekaji-wa-kundi-la-kigaida-la-Al-shabab.jpg

Wanajeshi walimwagwa kwenda kusaidia kupambana na watekaji wa kundi la kigaida la Al-Shabab
Wananchi-wa-mataifa-mbalimbali-waliokuwa-wakifanya-shopping-kwenye-mall-hiyo-wakiwambia-kuinua-mikono-yao-kuonesha-hawana-silaha.jpg

Wananchi wa mataifa mbalimbali waliokuwa wakifanya shopping kwenye mall hiyo wakiambiwa kuinua mikono yao kuonesha hawana silaha
Gaidi mmoja alikamatwa jana na kufa kutokana na majeraha. Maafisa wa Kenya wameiambia BBC kuwa wengine wanne wamekamatwa
images

 
Hili ni tukio ambalo Tanzania ilibidi tuonyeshe ujirani wetu TV zetu naona wamenuna hawaonyeshi juu la tukio hilo
 
Polisi tanzania tafadhalini sana muwe makini katika ulinzi,msije mkasema TUMEJIPANGA wakati tukio baya la kudhuru wananchi limeshafanyika!!Poleni Kenya
 
Mungu wangu inatisha sana..kama muvi hivi.. mtu na mpenzi wake wameniumiza sana na watoto pia mungu awape amani ya milele..
 
Mungu Ibariki Tanganyika.
Tuiombee Nchi yetu kila mmoja kwa imani yake,yasije tukumba kama haya yaliyowakuta jirani zetu.
So sad.
Hakika hili nipigo kwa Wakenya.Na wengi wao Hawatoisahau siku hii.
 
Tanzania tumeshindwa hata kutos pole Tu? As if hatuna ndugu huko???
Ngoja tuone kama Jakaya ataweka pembeni majungu,chuki na Fitina, ya miezi kadhaa ilopita na kutanguliza Utu kwanza,tusubiri tuone.pengine atatuma salamu za rambirambi kwa Uhuru Kenyatta soon.
 
so sad jamani. roho inaniuma....hivi ndugu zetu waislam tatizo ni nn?
maana somtym nawaza hata sipati jibu
 
Jamani inatisha sana ee Mungu twahitaji huruma zako tu.
 
Waislamu wabadilishe fikra zao juu ya visasi na zile fikra za kuipigania dini Yao!!
bila kisasi binadamu hawezi kujifunza madhara ya ubaya au dhuruma,nyie mna dini yenu nasi tuna dini yetu
 
bila kisasi binadamu hawezi kujifunza madhara ya ubaya au dhuruma,nyie mna dini yenu nasi tuna dini yetu
kwanini wanaua watu wasio na hatia? mnaiharibu amani ya wengine sababu ya mioyo iliyojaa chuki ni mungu gani huyo anaewaongoza
 
Hata mimi nimeshangaa kwa TV stations zetu Tanzania kjtofanya any coverage ya tukio hili ambalo limetokea kwa jirani zetu. Mungu wasaidie Kenya katika shida hii.
 
Back
Top Bottom