Jinsi CIA na USA walivyoihujumu Israel na Netanyahu

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,653
Reaction score
8,000
Niaje waungwana

Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la kijasusi la CIA.

1. Kwanza tukumbuke kuwa raisi Trump ni mtu asiependa kuona Marekani ikiendelea kufanywa shamba la bibi na mtu, kampuni au nchi yoyote ile nje ya taifa hilo.

Ndiomaana amekuja na sera ya marekebisho ya ushuru kwa nchi karibia zote duniani zikiwemo UK, China, EU, Africa countries, Asia nk.

2. Pili tukumbuke kuwa raisi Trump ana sera yake maarufu inayoitwa MAGA (Make America Great Again)
Sera hii ni pana, lakini lengo lake kuu la kwanza ni kuirudisha Marekani katika nafasi yake ya ukuu wa dunia. Na nafasi hii inahitaji uchumi imara ambao utaipa nchi hiyo uhakika wa kuendelea kushika nafasi hiyo miaka zaidi ya 50 mbeleni.

Ndiomaana katika hili alikuja na sera ya kukata, au kupunguza kabisa misaada kwa nchi kama Ukraine, na taasisi nyingi duniani zikiwemo zile taasisi zinazosimamiwa na Umoja wa Mataifa.

Yeye anachoangalia kwanza ni masilahi ya Marekani mbele, halaf msaada wake unakuja nyuma. Yani kama unahitaji msaada kwake, basi ni lazima wewe umpe, halafu na yeye ndo akupe. Hakuna tena cha maswala ya bure.

Hili limejitokeza kwa Ukraine, walipotaka kuendelea kuwa tegemezi kwa Marekani aliwaambia wazi kuwa yeye hawezi kuifanya Marekani itegemewe for nothing. Ili uitegemee Marekani, ni lazima Marekani na yenyewe ikutegemee.

Hapa ndo tulipoona kikao cha Trump na ......... katika kikao kile Trump alimwambia raisi wa Ukraine (bila kupepesa macho) kwamba ili Marekani iingilie kati swala lake, ni lazima kuwe na deal kati ya nchi hizo mbili. Marekani apewe umiliki wa madini adimu huko Ukraine, na Ukraine ipewe ulinzi na msaada na Marekani. Hilo swala mpaka leo, bado lipo katika majadiliano.

Halikadhalika Congo nayo hivyo hivyo, iliombwa madini na Marekani, ili kuweka mambo sawa katika maeneo yote yanayohusishwa na vita vya Congo. Congo yenyewe imeonesha kukubaliana na swala hilo na sasa amani imeanza kuonekana huko Congo. Yale mapigano tuliokuwa tukiyasikia kila siku kati ya jeshi la Congo na waasi wa M23 hatuyasikii tena.

Tukija kwa Israel. Nchi hii imekuwa ikijiona kama na yenyewe ni sehemu ya jimbo la Marekani. Raia wa Israel haswa viongozi wa nchi kama kina Netanyahu wamekuwa wakijiona kama na wao ni sehemu ya viongozi wa Marekani.

Hii ilitokana na sera ya muda mrefu ya Marekani kuhusu taifa hilo. Sera hiyo ya Marekani imekuwa ikiichukulia Israel kama taifa linalotakiwa kulindwa, kusaidiwa na kuheshimiwa na nchi nyingine. Hili lilipelekea nchi hiyo kujiona ni bora na special mbele ya nchi nyingine. Ilifika kipindi Netanyahu anaamuru raia wake wavamie makazi ya wapalestina huko Jerusalem na kuwatoa katika nyumba zao kwa nguvu. Waliotolewa kwa nguvu wakilalamika hawasikilizwi, na wakiandamana ili wasikilizwe wanapigwa risasi, wengine wanakamatwa na kupelekwa kwenye jela za mateso, huko wanateswa hadi kufa.

Haya yote waliyafanya kwa kuamini kwamba wana msaada mkubwa wa kiulinzi, na kifedha kutoka kwenye shamba la bibi Marekani. Netanyahu akienda anavimbishiwa account yake, kisha anakuja kugawana na genge lake. Bila kujali kuwa hizo hela ni kodi za wamarekani ambao wengine hata huduma za afya kwao ni shida.

Sasa safari hii watu wamewachoka. Netanyahu baada ya Trum kuapishwa akawahi fasta kwenda kuomba hela za vita kama kawaida yake. Trump akampa akiamini jamaa atazitumia kiakili ili asiendelee kuwasumbua. Kumbe mwenzao alikuwa anapanga kuendeleza uvunjifu wa amani mashariki ya kati ili baadae arudi tena kuomba zingine.

Kitendo hicho kimemuuma sana Trump ukizingatia yeye anataka Marekani iwe inaingiza badala ya kutoa tu kuuwia wanawake na watoto. So likapangwa tukio la kumshawishi aingie vitani achapwe na Marekani anawe mikono kimya kimya kwa madai kwamba jamaa akipewa pesa ana focus kwenye vita badala ya kuwasaidia raia wenye matatizo katika nchi yake.

Tumeona jinsi Trump alivyomhujumu Netanyahu kwa kupeleka ndege ya kijeshi kupiga jumba tupu, huku nyuklia na nyenzo nyingine muhimu vikiwa vimeshahamishwa zamani.

Lakini kibaya zaidi hizi kauli zake za kuanza sasa kumfokea Netanyahu kwamba asiendelee kuangusha mabomu, maana akichapwa atakosa wa kumsaidia.

Na hii kauli nyingine ya kusema live kwamba Israel imechapwa kweli kweli, tofauti na vile Netanyahu, genge lake na wale wayahudi wetu wa bonyokwa kudai kwamba Iran haikufaidika na chochote katika vita hii.

Niliandika uzi hapa jana kwamba ukiona Marekani kaingilia kati kusimamisha pambano ambalo hapo mwanzo walisema waachwe wapigane, basi ujue kuna madhara makubwa sana yaliosababishwa na Iran katika ardhi ya waisrael. Sema vyombo vyao vilikuwa vinadhibiti taarifa nyingi ili kuficha udhaifu wao, na udogo wa ulinzi wao.

Sasa kama Trump mwenyewe amesema kuwa Israel imebondwa bondwa vibaya. Wewe myahudi wa bonyokwa ni nani mpaka upingane nae.

Sera ya sasa ya Trump ya MAGA, bila shaka itam cost sana Netanyahu. Maana Trump hataki mchezo tena na kodi za Wamarekani. Anataka kila mtu huko mbeleni aje apambane kivyake. Sio kuchokoza ugomvi, halafu ukibondwa utegemee Trump atumie mamilioni ya kodi za Wamarekani kuja kukusaidia kwa upuuzi wako.

Hii inatupa funzo kwamba kama wewe ukiwa mchokozi basi angalau uwe na chochote cha kukusaidia pale uchokozi wako unapogeuka kuwa fimbo ya kukuadhibia kama ilivyoadhibiwa Israel na Iran.
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-084018.jpg
    Screenshot_20250625-084018.jpg
    388.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20250625-084041.jpg
    Screenshot_20250625-084041.jpg
    386.2 KB · Views: 21
  • 6109767-d26bef7a12c4ddfee9fb5a550d6e8dfc.mp4
    1.7 MB
  • 20250620_225357.jpeg
    20250620_225357.jpeg
    21.3 KB · Views: 20
Iran si tishio kwa USA. Irani kuwa na mashia wengi( imani inayokinzana na uislam wa kitabu na sunna) , hiyo ni karata kwa usa , amewatumia Iraq na maeneo mengine. Mtu makini hatarajii vita siriazi kati yao .
 
kobazi mna akili za hovyo eti nuklia zilihamishwa unafikiri magunia ya mchele hayo mfano useme mradi wa umeme wa mwalimu Nyerere umehamishwa
 
Kuna ukweli fulani hapa

Hii vita haina uhusiano wowote na mambo ya dini. Nafikiri ungejadili kile kilichoandikwa. Hayo mambo ya shia na suni hayakuandikwa kwenye thread.
 
kobazi mna akili za hovyo eti nuklia zilihamishwa unafikiri magunia ya mchele hayo mfano useme mradi wa umeme wa mwalimu Nyerere umehamishwa
Naona Netanyahu aliacha kukuingilia kwa muda kutokana na presha ya kushambuliwa na Iran. Ila kwa sasa vita imeisha utarajie mimba ya Netanyahu sasa hivi dada yangu.
 
Huna akili
 
Back
Top Bottom