Jinsi Chuki Inavyozalishwa Kwenye Nchi...

Hii ni makala kutoka BBC. Nyie wenzetu "wazalendo" wa ccm sikilizeni kwa makini maana ndiko mnakoipeleka Tanzania. Na tukifika huko kutoka ni shughuli pevu.

Wazungu waingereza/ wajerumani walikuja na Bibliab kitabu kitakatifu Africa.
Moja ya Amri 10 toka kitabu hicho ni
thou shalt not Kill
Thou shalt not steal

Ni wangapi waliuwawa iwe Tanganyika au nchi yoyote wakati Afrika akidai uhuru wake?
Ni mangapi wakoloni walikwapua (wizi na uporaji wa mali za Afrika na Tanganyika ikiwemo)

Ukiona watu ambao hata amri 10 za Mungu hawakuziheshimu wakati wanaleta Ukoloni na sasa sheria za kwao zinawaruhusu wanaume kugeuzana in the name of "Human rights"

Hao wakoloni wetu wa zamani on serious notice; hawana moral authority kutueleza haki za binadamu.

Wasifanye kile wahubiri wanasema fuateni script yangu na msifuate matendo.

Matendo yanazungumza kwa sauti kuliko documentary zenye narratives zilizo sugar coated
 
Ndivyo unavyo jindanganya kwa kukrem hayo???
 
Kwa hiyo kumgeuza mwanamke ni halali?, mawazo ya hovyo kabisa haya
 
Umeisikiliza hiyo documentary yote lakini? Maana mifano iliyopo si ya Afrika pekee, ipo na ya Europe pia. Hilo nalo unalisemeaje?
 
Wazungu waingereza/ wajerumani walikuja na Bibliab kitabu kitakatifu Africa.
Moja ya Amri 10 toka kitabu hicho ni
thou shalt not Kill
Thou shalt not steal

Ni wangapi waliuwawa iwe Tanganyika au nchi yoyote wakati Afrika akidai uhuru wake?
Ni mangapi wakoloni walikwapua (wizi na uporaji wa mali za Afrika na Tanganyika ikiwemo)

Ukiona watu ambao hata amri 10 za Mungu hawakuziheshimu wakati wanaleta Ukoloni na sasa sheria za kwao zinawaruhusu wanaume kugeuzana in the name of "Human rights"

Hao wakoloni wetu wa zamani on serious notice; hawana moral authority kutueleza haki za binadamu.

Wasifanye kile wahubiri wanasema fuateni script yangu na msifuate matendo.

Matendo yanazungumza kwa sauti kuliko documentary zenye narratives zilizo sugar coated
Kwahiyo una maana mtaendelea kuwauwa wapinzani wenu kisa wazungu walifanya hivyo
 
Wazungu waingereza/ wajerumani walikuja na Bibliab kitabu kitakatifu Africa.
Moja ya Amri 10 toka kitabu hicho ni
thou shalt not Kill
Thou shalt not steal

Ni wangapi waliuwawa iwe Tanganyika au nchi yoyote wakati Afrika akidai uhuru wake?
Ni mangapi wakoloni walikwapua (wizi na uporaji wa mali za Afrika na Tanganyika ikiwemo)

Ukiona watu ambao hata amri 10 za Mungu hawakuziheshimu wakati wanaleta Ukoloni na sasa sheria za kwao zinawaruhusu wanaume kugeuzana in the name of "Human rights"

Hao wakoloni wetu wa zamani on serious notice; hawana moral authority kutueleza haki za binadamu.

Wasifanye kile wahubiri wanasema fuateni script yangu na msifuate matendo.

Matendo yanazungumza kwa sauti kuliko documentary zenye narratives zilizo sugar coated
Afrika bwana mm inanshangaza sana kila kitu tunategemea white people... Elimu, technology, afya, uchumi, kilimo, madawa, sheria na haki za binadamu, yani kila kitu tunategemea wao Leo hii had dini Mungu na miungu tunayoitegemea n ys white people. Had mzizu cku hz tunayomba n ya White people.. Alafu tunataka kujtawala [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mwl Nyerere = Forming stage
Hassan Mwinyi = Storming stage
Ben Mkapa = Norming stage
Jakaya Kikwete = Performing stage
John Magufuri. = Adjourning stage

Hizo ndizo hatua za kuanzisha hata kuja kusambaratika kwa kundi lolote. Rejea ktk literature review halafu uangalie "stages of group formation" utapata majibu ya kisayansi.
 
Afrika bwana mm inanshangaza sana kila kitu tunategemea white people... Elimu, technology, afya, uchumi, kilimo, madawa, sheria na haki za binadamu, yani kila kitu tunategemea wao Leo hii had dini Mungu na miungu tunayoitegemea n ys white people. Had mzizu cku hz tunayomba n ya White people.. Alafu tunataka kujtawala [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Na hapo hapo MTU anamtukana Mzungu huku hata simu na teknolojia anatumia ya mzungu
 
Back
Top Bottom