Jinsi CHADEMA wanavyomwelewa Rais Magufuli

Jinsi CHADEMA wanavyomwelewa Rais Magufuli

Niliupenda sana upinzani kwakua ulisaidia kuikumbusha serikali pale ilipokosea. Ila baada ya kuja muhuni mzee mamvi 2015 ametubadilishia kabisa upinzani tz. Hawana sera kazi yao kutukana matusi tu.

Hawataki ushauri, wanajiona wao ni miungu watu wasioweza kukosea. Wenyeakili wameanza kukimbia kueleea ccm.
Wamekimbilia au wamenunuliwa?!
 
Big up chadema maana nyinyi ndio mnaonekana mnauthubutu wa kuhoji mpaka mleta maada kajumuisha yeyote anayehoji ni chadema (zito,seif)
Hahahhaaaaaaaaa,CDM inawaumiza vichwa mpaka wanachanganyikiwa!
 
Nina uhakika hujaelewa chochote kwenye hiyo mada, maana pamoja na Dj wenu ni zero tupu hamuwezi english.

Mnachokiweza bavicha ni matusi tu.
Kiingereza chenyewe cha kuokotea maandazi
 
Dah! Hapo mleta uzi anaamini ameandika kitu cha maana kweli. Endelea wewe ni "great thinker."
 
*If Magufuli says that after visiting toilet, everyone must wash hands with soap........*

*What would the opposition leaders say?*


*Zito-* Magufuli has taken money from the soap manufacturing companies. I have evidence. ‍♂

*Mbowe-* Magufuli wants the poor people to spend their money to wash their hands instead of buying food, this is a primitive CCM way of looking at things. 🤷🏿‍♂🤷🏿‍♂🤷🏿‍♂

*Msigwa-* I will not wash hands as it is not written in the constitution. Until we get the New constitution.


*Mdee-* It is my life, these are my hands why should I be told to wash my hands by a CCM leader? We will do what we want!


*Lema*- We will not waste water washing hands, after all they charge us taxes for water which they dont provide, we buy water from our fellow citizens because the govt has failed to supply water!


*Maalim Seif-* This is a conspiracy to close all the hospitals. We have all the inside information.



*THE TRUE STATE OF TANZANIAN POLITICS!*
Yawezekana ulikuwa bado kuzaliwa au ndio unatambaa.
Nguli wa "country music" miaka ya 70-mwanzoni mwa 90, Roger Whitaker wa Scotland, aliimba hivi:
I don't believe 'If(s)' anymore,
If is an illusion,
If is for children.

If it is going to rain tommorow, there will be floods tommorow,
If ............ If,...........

Njozi njema baada ya kuhalalisha bk7.
 
Yawezekana ulikuwa bado kuzaliwa au ndio unatambaa.
Nguli wa "country music" miaka ya 70-mwanzoni mwa 90, Roger Whitaker wa Scotland, aliimba hivi:
I don't believe 'If(s)' anymore,
If is an illusion,
If is for children.

If it is going to rain tommorow, there will be floods tommorow,
If ............ If,...........

Njozi njema baada ya kuhalalisha bk7.
Hujaeleweka bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi propaganda mfu haziwezi kuwasaidia enyi makada wa CCM,jifunzeni kujenga hoja kutetea chama chenu na si hizi cheap politics!
Kwanini watetezi wa ccm mitandaoni wengi wao ni mbumbumbu?
 
Back
Top Bottom