CCM ni chama kinchoshikilia dola,ndiyo maana wanafanya mambo mengi ya kihalifu kwakujiamini kabisa kwani hakuna wakuwauliza,ccm wamefanya maisha ya watanzania kuwa ya kubahatisha sana,mtanzania anapougua hana pa kwenda kutibiwa,atahangaika humu labda Mungu tu,hii ni kwasababu huduma za afya ni mbovuuuuu.
Hawajali viongozi kwani wao hutibiwa njeeeee!tena kwa fedha za hawahawa watz.Maisha yamekuwa magumu kwasababu ya kodi lukuki walizolimbikiziwa wananchi,wao sidhani kama wanalipa kodi,wao kula bure,usafiri bure,nyumba bure na zote ni kodi za wananchi.
Angalia walimu,mishahara kiduchu tena ikikatwa kodi kubwaaa!yaani CCM imefanya kazi ya ualimu idharaurike kabisa katika jamii,leo ukimwambia mtoto wa A level utakuwa mwalimu anaweza kukupiga mawe maana ni kama tusi kwake.
CCM kwanini hamuwajali wananchi wenu?kwanini mpende kujilimbikizia mali huku huduma kwa wananchi hamziboreshi?
Wananishangaza wa kina ritz,simiyu yenu,lizabon na wengine wanavyoishabikia CCM,hivi CCM inawapa nini?au mmfvurugwa?amkeni mbadilije tulikomboe hili taifa,binafsi siipendi CCM na sitaipenda kamwe,kwani inadharau sana na haiwajali wananchi kabisa.