Jinsi ambavyo bwana Denis anateseka na ndoa yake ya kufosi labda malaika pekee ndio waingilie kati!

Mtu mwenye nuksi me/ke ukioana nae tu kipimo utakiona kwenye kuvurugika kwa mambo yako. Kipato lazima kipungue, mwenye baraka au kibali mkioana masikini utashangaa mambo yako KILA ufanyalo linatiki tu.

Sasa mbona haieleweki, kwa hiyo mmoja lazima a loose na mmoja again yaani set ziko hivi?
L and L
G and G
L and G
G and L
 
Jamaa yangu kibarua kiliota anaumwa figo kasusiwa nyumba hata wa kumchotea maji hana ndani jumba kubwa anaishi mwenyewe na njaa mke kabeba watoto kakimbia.
Shida ni ya kwako raha kwa wote.
Msaidieni jamani asife. Muunganishe na Idd Makengo japo apate counseling au niunganishe naye nimpe ushauri wa kitaalamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom