Jino langu gego upande wa kulia siku kama mwaka uliopita nikitafuna kitu upande wa kulia nasikia lina ganzi.
Baada ya muda nikagundia lina kishimo.
Juzi nilikuwa najaribu kufungua kinywaji kwa meno likameguka kakipande kadogo.
Sasa nasikia maumivu usiku au nikinywa maji ya baridi.Kile kishimo bado kimo.
1.Swali je jino kuwa na kishimo hadi kuuma kwenye mzizi linasababishwa na nini
2.Dawa gani ya kienyeji naweza tumia kwa sasa kabla sijaenda hospitali maana si wongo hakuna anayependa kung'oa jino
Naomba msaada