Jino limetoboka linauma sana

Jino limetoboka linauma sana

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,869
Reaction score
5,170
Jino langu gego upande wa kulia siku kama mwaka uliopita nikitafuna kitu upande wa kulia nasikia lina ganzi.
Baada ya muda nikagundia lina kishimo.
Juzi nilikuwa najaribu kufungua kinywaji kwa meno likameguka kakipande kadogo.
Sasa nasikia maumivu usiku au nikinywa maji ya baridi.Kile kishimo bado kimo.
1.Swali je jino kuwa na kishimo hadi kuuma kwenye mzizi linasababishwa na nini
2.Dawa gani ya kienyeji naweza tumia kwa sasa kabla sijaenda hospitali maana si wongo hakuna anayependa kung'oa jino
Naomba msaada
 
Mzizi wa mlonge uliopondwa na kulowekwa kwenye maji kiasi alafu tumia maji yale usukutue Mara tatu tu kwa siku...ni mti wa maajabu aisee waliojarb wanajua
 
Matibabu ya harakaharaka kwa usiku huu ni kutafuna karafuu kama punje mbili tu, tafuna bila kumeza mate wala kutema, yakiwa mengi sukutua kwa kuelekeza mate yako kwenye jino bovu kisha tema mate na makapi ya katafuu uliyotafuna. Tahadhari usitafune karafuu nyingi kwa kuwa zitauwasha ulimi mithiri ya pilipili. Ukizingatia maelekezo unaweza usiong'oe jino kabisa.

Ikishindikana hiyo, vunja kidonge kimoja cha panadol mara mbili ili upate ¼, chukua hiyo robo kipande paka sehemu ilotoboka, patapoa na utasinzia hadi asubuhi kabla ya kuchukua hatua nyinginezo.

Ushauri wangu unatokana na uzoefu kwa kuwa mi ni muhanga ila karafuu zilinitibu kabisa. Mimi sio tabibu.
Jino langu gego upande wa kulia siku kama mwaka uliopita nikitafuna kitu upande wa kulia nasikia lina ganzi.
Baada ya muda nikagundia lina kishimo.
Juzi nilikuwa najaribu kufungua kinywaji kwa meno likameguka kakipande kadogo.
Sasa nasikia maumivu usiku au nikinywa maji ya baridi.Kile kishimo bado kimo.
1.Swali je jino kuwa na kishimo hadi kuuma kwenye mzizi linasababishwa na nini
2.Dawa gani ya kienyeji naweza tumia kwa sasa kabla sijaenda hospitali maana si wongo hakuna anayependa kung'oa jino
Naomba msaada
 
Tafuta Colgate for sensitive teeth inauzwa kuanzia elfu 10 itakusaidia hizo dawa za miti shamba hazina uhakika tumia dawa zilizofanyiwa tafiti mzee
 
chuna magome ya mwembe au mkorosho chemsha mpaka maji yabadilike rangi ,5m, sukutua mpaka mara tatu kwa siku
 
Dawa ya jino ni kung'oa hakuna opt nyingine yoyote ya kutibu jino usipoteze muda na gharama zako bure nenda hosp ukang'olewe jino!
 
kuna jamaa kaniambia nichukue mizizi ya mnazi nichemshe hadi maji yawe mekundu nisukutue kutwa mara mbili.Nimefanya hivyo na nimepona.Inatibu meno.yote
Nimeona nitoe ushuhuda kwa faida ya wote.
Nimeokoka kung'oa na kuziba jino

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli?? Maana na mimi jino langu lina tobo siwezi kutafunia huo upande Kabisa maana nikitafuna panauma.
 
meno yangu yakiuma yanakua extra.
hapa linauma jino- shingo ,sikio ,bega na mkono wote mpaka jicho la upande huo.
Naweza kuling'oa wakuu? maana sina amani ya maisha tangu 31dec

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi meno manne ....2@side yametobolewa....maumivu yake hatari.....
Sili.......nyama,dagaa,mchele au chochote nutakachopress kwa nguvu na meno hayo ndo haya ya kutafunia...

Juzi niliwasiliana na jamaa yangu akaniagizia uru kwa mother wake....Jana nimeanza kutafuna Yale majani......Leo asubuhi numekunywa supu ya ng'ombe ........

Ni majani tu na yanaua yule mdudu fasta.....japo Yana kichefuchefu kidogo.
 
Tafuta Colgate for sensitive teeth inauzwa kuanzia elfu 10 itakusaidia hizo dawa za miti shamba hazina uhakika tumia dawa zilizofanyiwa tafiti mzee
Dawa zinatokana na miti iliyoongezewa thamani zikaitwa colgate ndugu. Soma comments utaona watu walivyofanya tafiti.
 
Na Mimi meno manne ....2@side yametobolewa....maumivu yake hatari.....
Sili.......nyama,dagaa,mchele au chochote nutakachopress kwa nguvu na meno hayo ndo haya ya kutafunia...

Juzi niliwasiliana na jamaa yangu akaniagizia uru kwa mother wake....Jana nimeanza kutafuna Yale majani......Leo asubuhi numekunywa supu ya ng'ombe ........

Ni majani tu na yanaua yule mdudu fasta.....japo Yana kichefuchefu kidogo.
naomba na mimi jamani hayo majani nateseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom