Jino limetoboka linauma sana

Jino limetoboka linauma sana

Jino langu gego upande wa kulia siku kama mwaka uliopita nikitafuna kitu upande wa kulia nasikia lina ganzi.
Baada ya muda nikagundia lina kishimo.
Juzi nilikuwa najaribu kufungua kinywaji kwa meno likameguka kakipande kadogo.
Sasa nasikia maumivu usiku au nikinywa maji ya baridi.Kile kishimo bado kimo.
1.Swali je jino kuwa na kishimo hadi kuuma kwenye mzizi linasababishwa na nini
2.Dawa gani ya kienyeji naweza tumia kwa sasa kabla sijaenda hospitali maana si wongo hakuna anayependa kung'oa jino
Naomba msaada

Pamoja na ushauri wa dawa uliopewa ma wachangiaji wengine, nenda hospitali ili kuangalia jino limeathirika kiasi gani. Wakati mwingine inaweza isihitajike jino kung'olewa but wakakufanyia Root Canal procedure.
 
.Dawa gani ya kienyeji naweza tumia kwa sasa kabla sijaenda hospitali maana si wongo hakuna anayependa kung'oa jino
Naomba msaada
Nenda hospitali linazibika,hata kama limeharibika sana ,wanaua mizizi yote lisiume tena
na kuliziba(root canal filling) ni gharama kidogo lakini inasaidia.
 
Nenda hospitali linazibika,hata kama limeharibika sana ,wanaua mizizi yote lisiume tena
na kuliziba(root canal filling) ni gharama kidogo lakini inasaidia.

Trust me. Bongo hakuna wataalam wa root canal watakuumiza tu na mwisho utatamani kulitoa jino ..
 
Yesu mi niko Far away aisee
nipigie picha labda naweza kuyapata somewhere

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20200104_093920.jpg
IMG_20200104_093819.jpg
IMG_20200104_093920.jpg
IMG_20200104_093819.jpg
IMG_20200104_093920.jpg
 
Whether you trust me or not. Huu ni mwaka wakumi tangu nitumie dawa hii niliibiwa hi Siri na mmasai mmoja baada ya kuniuzia dawa zake za kutibu jino lililotoboka lakini hazikunisaidia.

Here is the cure kwa 100%.

Kinga kwenye kikombe ule mkojo wa alfajiri wenye acid Kali Kisha sukutua mdomoni na kutema. Sukutukua mdoma Kama Mara mbili au tatu Kisha usiswaki mpaka yaite masaa matatu au usiswaki kabisa. Ukifanya hivi siku ya kwanza maumivu yanapungua kwa asilimia 40. Ukirudia siku inayofuata tatizo limeisha.

Jino litabaki jeusi lakini haliumi na halitoi harufu.

Take it from me Kama unauthubutu na unahitaji tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H

Iyo nayo ni imani,ila Mimi nimeziba mawili na ninaendelea vizuri na ni miaka imepita.moja niliziba regency na jingine nikaziba muhimbili fast track.
Mimi niliziba 2016 lakini 2018 likatoboka tena...halafu ile ganzi waliyonichoma bado huwa nahisi mpaka leo....saivi huwa nalipoza kwa mitishamba....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi unaomba ushauri,trust me,ipo siku utafanya maamuzi magumu wewe mwenyewe ya kwenda kulitoa hilo jino baada ya kugagala usiku kucha ,siku utakayofanya uamuzi huo nitag nami nitakwambia sinilikuambia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom