Jino Limekatika lakini haliumi Nikiacha ni Tatito?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jino Limekatika lakini haliumi Nikiacha ni Tatito?.

Discussion in 'JF Doctor' started by Mfupa, Jan 12, 2012.

 1. M

  Mfupa Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF Dr. Nimepatwa na tatizo. Jino langu limekatika na kipande kilichobaki kimefunikwa na ufizi je nikiliacha ni taizo?

  heeeeelp!
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  'Tatito' 'taizo' sijaelewa hapa
   
 3. M

  Mfupa Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina kipande cha jino lilikatikia limefunikwa na ufizi na kufanya pengo lakini ndani bado kuna kipande cha jino. Hakinisumbui ila ninauliza kama ninaweza kusababisha tatizo lolote kama sitang'oa kipande hicho????
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Nakushauri ukaking'oe hicho kipande maana ukikiacha ufizi ukaendelea kukua kitakuletea matatizo baadae hivi unayajua maumivu ya jino? Kakitoe hicho kipande
   
 5. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hicho kipande kilichobaki ni lazima kitakuja kukusumbua ni bora ukingo'e, au kama hakionekani kwa urahis basi ngoja kikianza kukuletea maumivu basi ujue kishasogea juu juu utakingo'a kwa wepesi zaidi.
   
 6. M

  Mimi k Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mi ninatatizo la jino la juu limetoboka bt naogopa kwenda kulitoa wanasema et meno ya juu yana matatizo wakati wa kutoa
   
 7. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hakuna tatizo we kang'oe tu.
   
 8. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  dawa yake ni kwenda kutoa tu.
   
Loading...