Jini mahaba

Jini mahaba

Yote yaliyotabiriwa kwa Bibe ndo haya tuyaonayo thatha.,, Watu wamezini na binadamu wenzao hadi wa jinsia moja., Wanaona ssa haifai / haitoshi wanataka hadi majini thatha.,, moto wa sodoma hautuachi Ng'o
 
Tafuta mtu aliyewahi kukumbwa na mkasa wa majini mahaba akusimulie yalomkuta tuone kama utabaki na hayo mawazo.

Wanawake wamekushindaje,inamaana na mzazi wako angekata tamaa kama wewe ungalikuwapo leo hii.ni vyema kuji changanua mwenyewe huenda tatizo liko kwako,eidha kwenye kuchagua ama jinsi unavyoishi nao,usimpe mtu moyo wako 100% na cheating is inevitable dinia ya leo,ukimchunguza sana bata huwezi mla mzee
 
Habari za jion wadau wa jf

Ivi nataka nijuzwe jini mahaba ana uwezo wa kupata uhalisia wa kibinadam yaan unaweza kuishi nae kama mke,maanak binadamu washanishinda mim,..mi wa kiume kutoka kiumen ilq siwez kuhandle maumiv ya kua cheated,coz ni kama anakata visu moyo,..sasa nilitaka msaada kuhusu uyu jini VIP anauwez wa kua in physical form, manake dah,..maumiv kweny vidonda moyoni ni makali siwez handle extra marginal pain

Msaada pls

Mshanajr na mkuu MziziMkavu njooni mumpe ushauri kijana wenu huyu asije kujiua.
 
Tafuta mtu aliyewahi kukumbwa na mkasa wa majini mahaba akusimulie yalomkuta tuone kama utabaki na hayo mawazo.

Wanawake wamekushindaje,inamaana na mzazi wako angekata tamaa kama wewe ungalikuwapo leo hii.ni vyema kuji changanua mwenyewe huenda tatizo liko kwako,eidha kwenye kuchagua ama jinsi unavyoishi nao,usimpe mtu moyo wako 100% na cheating is inevitable dinia ya leo,ukimchunguza sana bata huwezi mla mzee

Hawajanishinda mkuu,tatizo ni pain baada ya kunibetray mi najua ppl are not perfect, ila akinicheat siwez kua stable,.. I can't handle intense pains,I break out, na siwez msamee,..
 
Yote yaliyotabiriwa kwa Bibe ndo haya tuyaonayo thatha.,, Watu wamezini na binadamu wenzao hadi wa jinsia moja., Wanaona ssa haifai / haitoshi wanataka hadi majini thatha.,, moto wa sodoma hautuachi Ng'o

Maumiv mama manake ni hatari,..
 
Habari za jion wadau wa jf

Ivi nataka nijuzwe jini mahaba ana uwezo wa kupata uhalisia wa kibinadam yaan unaweza kuishi nae kama mke,maanak binadamu washanishinda mim,..mi wa kiume kutoka kiumen ilq siwez kuhandle maumiv ya kua cheated,coz ni kama anakata visu moyo,..sasa nilitaka msaada kuhusu uyu jini VIP anauwez wa kua in physical form, manake dah,..maumiv kweny vidonda moyoni ni makali siwez handle extra marginal pain

Msaada pls
Umeshindwa kuvumilia maumivu ya mapenzi toka kwa binadamu Mwenzake je utaweza kuvumilia mapenzi na madhara ya Jini mahaba?

SUCUBI.jpg

Majini yapo ya aina mbali mbali na koo zao ziko mbali mbali kutokana na maumbile yaliyoelezewa katika vitabu vya dini kuwa yametokana na moto, majini yana sifa za moto au joto katika usafiri wake wa aina tatu yaani conduction,convection na radiation.

Majini yanatuona na sisi hatuyaoni ila yanaishi ulimwemgu huu tuliyomo, kuna viumbe vingi duniani ambavyo mwanadamu hawezi kuviona ila kwa darubini lakini vile vile kuna viumbe hawezi kuviona hata kwa darubini ila kuhisi na kutambua kwa dalili tu.
Majini tunapishana nayo sehemu mbali mbali mida fulani na kiasi kwamba hata kurusha takataka kwenye majalala waweza kuyarushia kwani mara nyingi yapenda kukaa sehemu chafu baadhi yao, hivyo basi ikitokea ukarusha takataka likayapiga yanadhani umefanya makusudi nayo yanalipiza kisasi na kukutesa sana, ushauri weka takataka kwenye dust bin au jalala bila kurusha endapo yapo usije yapiga na kalipiza kisasi kwani ni machungu sana ukiyaumiza au kuyatupia kitu bila kuyaona.

Majini yana tabia kama ya wanadamu mfano kuna majizi(chuma ulete), mazinifu(majini mahaba), mafitini yenye kuchonganishi familia na wanajamii bila kuelewa kwa kuingilia mifumo yao ya fahamu na kuwatia wasi wasi na husuda kubwa yenye chanzo cha majini wa aina hiyo.

Majini mahaba yakimtamani mwanamke yanajitahidi kumuingilia usiku kama mke wa hayo majini na yakiisha muhodhi yanammiliki na hayataki mtu mwingine amguse au kumuoa kama hajaolewa kiasi kwamba posa zitaharibika kila mara, kama ni mke wa mtu yatamfanya amchukie mume wake bila sababu na akisafiri mke huyu anakuwa na furaha na akirudi anahuzunika na kuona yuko kama kifungoni vile, sehemu za siri zinakuwa na mgogoro kama kukauka, kubana sana, kuumia, kutoka damu ghafla ili mradi wasifanye tendo la ndoa na mume kwa amani.

Pia kuna majini mahaba ya kike yakitamani mwanaume usiku ataota mwananmke mzuri na atazini naye kila mara kiasi kwamba atamchukia mke wake bila sababu na kumuona mbaya wa sura na kumjibu majibu ya chuki hata kwa jambo la kawaida sana.Jini mahaba likiwa na wivu mwingi mpaka nguvu za kiume kumuingilia mke wake zinakosa na kuhisi moyo kwenda mbiu. Si hii tu mpaka mipango na afya yake vyaweza kuvurugika kila mara.Haiifai binadamu kuowa au kuolewa na Jini.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
View attachment 516875

OK ahsante,nimekuelewa mkuu ila ndo sura yake apo juu,..hayawez kujua na sura ya kibanadamu na yakawa tulivu yeye amani,!?..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom