Warembo hawajisemi na kujisifia!Khaaaa kwahiyo sisi warembo tuna jin mahab
Umeyajuaje yote hayo au wwe ndio jini mahaba?unajisifia kiaina!kama kichwa kinavyosema hawa jini mahaba pia wanahusika kwa kuusambaza ukimwi ... mana wanatembelea wadada wengi warembo..
Tobaaaaaa hii mbuzi nayo ni nzuriKhaaaa kwahiyo sisi warembo tuna jin mahab
Wewe sio mrembo wewe ni cartoonistKhaaaa kwahiyo sisi warembo tuna jin mahab
hahahaWewe sio mrembo wewe ni cartoonist
[emoji216]mxeeewWewe sio mrembo wewe ni cartoonist
nimemiss katuni zako, nichore Basi nifanye avatar yangu[emoji216]mxeeew
Niwie radhi Kwanza ndo nitakuchora asubuhi asubuhi umeniharibia moodnimemiss katuni zako, nichore Basi nifanye avatar yangu
Khaaaa kwahiyo sisi warembo tuna jin mahab
Niwie radhi Kwanza ndo nitakuchora asubuhi asubuhi umeniharibia mood
Umesema ukweli tupu.kama kichwa kinavyosema hawa jini mahaba pia wanahusika kwa kuusambaza ukimwi ... mana wanatembelea wadada wengi warembo..
Mh makubwaMrembo wangu relax banaa, vijimaneno vya jf viachie humu humu visikukoseshe mood...
Wewe ni bonge la mrembo demiss
Mh makubwa