Jini Mahaba (Sccubae)

future lawyer

JF-Expert Member
Jan 28, 2020
404
388
SUCCUBAE Ni Neno La Kilatini Cha Kileo Maana Yake Ni "Malaya" Ambacho Asili Yake Ni Succubare Ikiwa Na Maana Ya ''Kulala Chini Ya"
Kwa Kiingereza Ni Succubus, Kwa mara ya kwanza neno hili lilithibitishwa mwaka1387. -

Succubus ni shetani jike ambalo hutokea kwa njia ya ndoto na huwa na umbo la kuvutia sana la mwanamke mrembo kijana Mbichi ili aweze kutongoza wanaume nakufanya nao ngono.
-

Lakini kiuhalisia ukiachana na sura na Umbo La kuvutia viungo vyake vingine vina utofauti na viungo vya kawaida vya mwanamke mrembo.
-

Kwa Mfano Kucha zake zimechongoka Kama kucha za ndege, kichwani licha ya nywele zake ndefu lakini ana pembe za kishetani , Nyuma juu ya makalio pale mfereji wa matako unapoanzia ana mkia wa joka.
-

Kwa Mujibu Wa mafundisho ya Zohar, Lilith Ndiye Anaye Tajwa Kuwa Malaya (Succubus) Na Alikuja Kuwa Hivyo Mara Ya Yale Mambo Yake Kutokea (Sitaelezea Hapa Ili Kuepusha Mkanganyiko) Kwa Wanao Hitaji Kufahamu Zaidi Tafuta Kitabu Cha BOOK OF LILITH. -

Kwa Mujibu Wa Mafundisho Ya Zohar Lilith Alienda Kujamiana Na Shetani Tendo hilo la kumwingilia Succubus linafanana na Kuingia pango la barafu.
-

Pia simulizi zinasema kuwa Succubus alikuja kuongeza Succubus wengine ambao kazi yao kubwa ni kuwalazimisha wanaume wanyonye /warambe Sehemu zao za Siri Zinazotiririsha haja ndogo na ugiligili mwingine wa kuchukiza.
-

Succubus wapenda kunyonywa na kurambwa Sehemu zao Za Siri imekuwa ni utamaduni maarufu sasa duniani Lakini Asili Yake Ni Huko, kwa juhudi za Morrigan na Lilith Aensland kutoka wanyapaji wa giza ambao pia ni Masuccubus -

Mwisho Utagundua, Lilith kwa jina la Succubus (Malaya) yupo na kizazi chake hakijawahi kufa bali kimeongezeka mara dufu
Dalili za Sukubasi ni zipi?

Ndoto nyevu na mwanamke mrembo, Mwanamke mrembo mwenye kupenda mikucha mirefu iliyochongwa. Wanapenda sana staili za ajabu za nywele Wananogewa na wanapenda sana kunyonywa Sehemu zao mpaka zitoe ugiligili.
-
MWISHO
2020-09-10%2014.39.28.jpg
 
Mkuu unanamba ya mmoja wapo..? Nataka nijifyatue na mmoja wao nimechoka mikikimikiki ya Hawa dada zetu..
 
Mkuu kwani hao Succuban sijui Sokoban wanaomba na ya kutolea? Kama vipi niunganishe na mmoja nimsukumie hadi aombe poo!!
 
Mtu tu anakaa anaandika kitabu analeta story zisizo na kichwa wala miguu.
Au hiyo adithi inapatikana andiko gani?
 
Mkuu unanamba ya mmoja wapo..? Nataka nijifyatue na mmoja wao nimechoka mikikimikiki ya Hawa dada zetu..
Kuna jamaa tulikua tunaishi nae Temeke alishawahi tokewa na haya madudu (jini mahaba).
Tena alimtokea live likampenda mpk wakaanza uhusiano na wakazaa na mtoto mmoja.
Tatizo lilikuja lile jini lilitaka wakaishi chini ya bahari ambapo chakula chao ni udi sasa jamaa wakawa wanashindana hapa...ni stori ndefu sana.
 
Kuna jamaa tulikua tunaishi nae Temeke alishawahi tokewa na haya madudu (jini mahaba).
Tena alimtokea live likampenda mpk wakaanza uhusiano na wakazaa na mtoto mmoja.
Tatizo lilikuja lile jini lilitaka wakaishi chini ya bahari ambapo chakula chao ni udi sasa jamaa wakawa wanashindana hapa...ni stori ndefu sana.
Endeleeni kudanganyana hivyohivyo..!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom