Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
hayo maneno matatu hapo juu huwa nayasikia yanatumika sana, kiukweli huwa naenda na mukmbo tu sababu siyaelewi vizuri.
Jini mahaba ni nini? Na humpata mtu wakati gani? Kwa nini huhusishwa na mtu kuota akingonoka?
Pepo la ngono ni nini? Na humpata mtu wakati gani? Kwa nini huhusishwa na mtu kuwa active sana kingono?
Mfadhaiko ni nini? Humpata mtu wakati gani? Je jinsia zote mbili hupatwa na mfadhaiko?
Hebu nisaidieni kudadavua, EMT usipite pande hii.

Last edited by a moderator: