Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 179
Wakuu habari, nauliza kwa yeyote anaejua ile Jingo inayopigwa kila jpili kwenye kipindi cha Asian flava cha Radio Free Africa ni ya wimbo gani wa kihindi. Nikipata na jina la msanii na muvi yenyewe ntashukuru.