Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?

nikweli mana kila binandamu lazima aote ndoto kama hio hata mimi hiwanga najiulizaga sana hio ndoto

wee Mange njile kama umekula maharage halafu hujanawa vizuri usipende kucomment maana hueleweki
binandamu=binadamu
hio=hiyo
hiwanga=huwaga
 
Habari zenu wakuu,

Kuna vitu ambavyo naviwaza sivipati majibu mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie.

Ni kwanini mtu unapolala kwa kuangalia juu yani bati anakuwa anaota ndoto mbaya za kutisha na kama vile kuna kukabwa flani hivi na hii sio kwangu tu nimewasikia watu wengi pia wakilalamika.

Je, jambo hili linahusiana na mambo ya kichawi kama wengi wanavyozani? Au kuna namna kisayansi lazima itokee endapo mtu akilala hivyo labla kuna vitu vinaforce ubongo kuhisi hivyo?

Wataalam naombeni msaada wenu

Sio kila mtu nyumba imeezekwa kwa bati, na wengine zimewekewa ceiling board
 
Yaani mimi kulala chali ndio mlalo wangu,nikilala kifudifudi napata tabu sana kupumua,na namshukuru mungu kwani mauza uza ya kuota hayanikuti
 
Habari zenu wakuu,

Kuna vitu ambavyo naviwaza sivipati majibu mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie.

Ni kwanini mtu unapolala kwa kuangalia juu yani bati anakuwa anaota ndoto mbaya za kutisha na kama vile kuna kukabwa flani hivi na hii sio kwangu tu nimewasikia watu wengi pia wakilalamika.

Je, jambo hili linahusiana na mambo ya kichawi kama wengi wanavyozani? Au kuna namna kisayansi lazima itokee endapo mtu akilala hivyo labla kuna vitu vinaforce ubongo kuhisi hivyo?

Wataalam naombeni msaada wenu

Kwanza lazima uelewe kuwa dunia ina pande tisa , nane Zinajulikana na kutajwatajwa lakini nne ndio maarufu zaidi nazo ni kaskazini kusini mashariki na magharibi na upande wa tisa usiotajwa sana ni kile kitovu au Shina linalounganisha hizo pande linaitwa central axis

Pili hili anga limejaa roho na mapepo yaliyozagaa kila mahali na kama ujuavyo roho/pepo ni energy kitu chepesi kabisa kisichoonekana wala kushikika

Kwahiyo kinachotokea ni kwamba unapolala chali na kuangalia juu ni kama unakuwa kwenye central axis ya dunia yanapopita roho na mapepo yote lakini vilevile ni kama unayaalika kwakuwa unakuwa kama uko kwenye cental gravity ya dunia

Yale yanapopita yatakuachia upepo fulani ndio hayo mauzauza yale yanayovutika kuja ndio majinamizi
Kwahiyo haishauriwi kulala chali kwakuwa unaalika nguvu zisizofaa kualikwa

Angalia ibada nyingi za kishetani humlaza mtu akiwa uchi chali ameangalia juu
 
Kisayansi ukilala chali ulimi unaweza kurudi nyuma na kuziba koo la hewa, na ndio maana unahisi kukabwa (kukosa hewa/kushindwa kupumua) kwa kuwa upo usingizini hauwezi kujitambua hivyo utahangaika hadi utakapoamka utaweza kuurudisha ulimi na utasikia ile hali imeondoka.
 
mzee hii post ungesubiri kukuche kwanza manake hapa kutishana nje nje
 
Kisayansi ukilala chali ulimi unaweza kurudi nyuma na kuziba koo la hewa, na ndio maana unahisi kukabwa (kukosa hewa/kushindwa kupumua) kwa kuwa upo usingizini hauwezi kujitambua hivyo utahangaika hadi utakapoamka utaweza kuurudisha ulimi na utasikia ile hali imeondoka.

Hapana ulimi ukirudi nyuma (kama ndio tafsiri sahihi)mtu hukoroma lakini hapati mauzauza
 
Ukitaka kuota ndoto za kugegedana na demu chukua kanga isokote vizuri halafu itupe chini ya ufungu mwa kitanda kesho yake asubuh utakuta umetoboa godoro kwa kuligegeda!

18+ only
 
Kisayansi ukilala chali ulimi unaweza kurudi nyuma na kuziba koo la hewa, na ndio maana unahisi kukabwa (kukosa hewa/kushindwa kupumua) kwa kuwa upo usingizini hauwezi kujitambua hivyo utahangaika hadi utakapoamka utaweza kuurudisha ulimi na utasikia ile hali imeondoka.

Pia kisayansi ukilala chali unadisturb equilibrium ya ubongo na moyo ndo sababu ya kisayansi ya hayo mauzauza. Inashauriwa usilale usingizi ukiwa chali position. Vifo vya ghafla usingizini pia usababishwa na kulala chali
atoto na we unalalaga chali dada'ngu? njoo huku umsikie shostito cute b na mauzauza yake, kumbe siku ile tunamtafuta alipatwa na mauzauza ya kulala chali bana
 
Last edited by a moderator:

Kwani kulala unaplan kuwa ulale vipi? Hiyo inatokea tu ukiwa usingizini unajikuta ushalala hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Kisayansi ukilala chali ulimi unaweza kurudi nyuma na kuziba koo la hewa, na ndio maana unahisi kukabwa (kukosa hewa/kushindwa kupumua) kwa kuwa upo usingizini hauwezi kujitambua hivyo utahangaika hadi utakapoamka utaweza kuurudisha ulimi na utasikia ile hali imeondoka.

Nakubaliana na wewe lakini sio ulimi. Ni kimeo (uvula) ambacho kikilegea (relax) ukiwa usingizini kinaziba koo la pumzi.
 
Ukitaka kuota ndoto za kugegedana na demu chukua kanga isokote vizuri halafu itupe chini ya ufungu mwa kitanda kesho yake asubuh utakuta umetoboa godoro kwa kuligegeda!

18+ only

ufungu?? wewe mmeru wa wapi asee?
 
Ukitaka kuota ndoto za kugegedana na demu chukua kanga isokote vizuri halafu itupe chini ya ufungu mwa kitanda kesho yake asubuh utakuta umetoboa godoro kwa kuligegeda!

18+ only

Mkuu inaelekea una uzoefu katika haya mambo.

Kwa nini usingempakia huyo kimwana kwenye baskeli yako na mambo yatakuwa for real.
 
Pia kisayansi ukilala chali unadisturb equilibrium ya ubongo na moyo ndo sababu ya kisayansi ya hayo mauzauza. Inashauriwa usilale usingizi ukiwa chali position. Vifo vya ghafla usingizini pia usababishwa na kulala chali
atoto na we unalalaga chali dada'ngu? njoo huku umsikie shostito cute b na mauzauza yake, kumbe siku ile tunamtafuta alipatwa na mauzauza ya kulala chali bana

Asante mkuu. Hapa nimejifunza kitu.

Lakini mimi nikifa sasa hivi wala msitafute mchawi. Hiyo chumvi niliyokula ni noma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom