The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,952
- 4,629
Wewe movie zinakusumbuašGianna(God is merciful) afu nickname unamuita GG...aiseeš„š„ afu awe nq rang nyeupe(adimu)
Wewe movie zinakusumbuašGianna(God is merciful) afu nickname unamuita GG...aiseeš„š„ afu awe nq rang nyeupe(adimu)
Nilishaolewa nikaachika nimeolewa tena nakaribia kuachikaAseee sikupatii picha ulivyošš bado ujaolewa tu?
Clara....
Wakuu habari za uzima?
Poleni na mihangaiko ya kuendelea kulijenga taifa letu.
Wakuu naomba suggestion ya jina la mtoto wa kike zuri.
Ahsanteni.
Gianna(God is merciful) afu nickname unamuita GG...aiseeš„š„ afu awe nq rang nyeupe(adimu)
Unabena mimba mpk unazaa hujui mtt ni nani?
Mmh
Kweli watu tunatofautiana
Nitaomba date moja na wewe.š utapokuwa free siku.Nilishaolewa nikaachika nimeolewa tena nakaribia kuachika
š¤£š¤£š¤£Nitaomba date moja na wewe.š utapokuwa free siku.
Huwezi kuwa na aunt mzuri hivyo nisioe huo ukoo.
Sanaaa...Huya yanakuaga mazuri matoto ya kike yenye jina hili...
Nasubir jibu nijue kama nimepigwa kubutišš¤£š¤£š¤£
Ngoja ntakutafutia wa kutoka nae outNasubir jibu nijue kama nimepigwa kubutiš
šnani mdogo wako?Ngoja ntakutafutia wa kutoka nae out
š¤£š¤£š¤£Hata mimba aliuliza abebe lini...š
ChausikuWakuu habari za uzima?
Poleni na mihangaiko ya kuendelea kulijenga taifa letu.
Wakuu naomba suggestion ya jina la mtoto wa kike zuri.
Ahsanteni.
Sina mdogo ambae yupo single...labda wajukuuššnani mdogo wako?
wewe?Au Mimi
Mimi ni kifupi cha mariašwewe?
Au Tatiana, sema hili jina huwa wanapenda sana kutiana.Precious,blessing,gift,doris,dorin,zalina