oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
jina lake hata kulitamka naskia amani moyoni mwangu,simfahamu vizuri and so does he,ila i guess ndio jina lake asili,nikiona kaanzisha sired lazima niisome yaan,ooh nampenda sana jamani huyu kijana,hivi juz kat mkewe(galfurend)wake kapatwa na maswahibu ya multiple id's,si mwingne ni my adorable STEVOH,wereva are wateva it takes i will be right here waiting 4 u