LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,349 Reaction score 36,303 Jun 8, 2025 #1 Wakuu kwema? Naomba kujua jina msangawale ni kabila gani na nini maana yake. With much thanks in advance
Wakuu kwema? Naomba kujua jina msangawale ni kabila gani na nini maana yake. With much thanks in advance
thehunk JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 533 Reaction score 233 Jun 8, 2025 #2 Unataka kujua nini
glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,825 Reaction score 4,639 Jun 8, 2025 #3 Mfipa/mnyamwanga/mmambwe n kati ya makabila ya moaning rukwa na mbeya kwa mbali
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,349 Reaction score 36,303 Jun 8, 2025 Thread starter #4 thehunk said: Unataka kujua nini Click to expand... glass amo said: Mfipa/mnyamwanga/mmambwe n kati ya makabila ya moaning rukwa na mbeya kwa mbali Click to expand... Asante sana mkuu na nini maana ya Hilo jina?
thehunk said: Unataka kujua nini Click to expand... glass amo said: Mfipa/mnyamwanga/mmambwe n kati ya makabila ya moaning rukwa na mbeya kwa mbali Click to expand... Asante sana mkuu na nini maana ya Hilo jina?
thehunk JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 533 Reaction score 233 Jun 8, 2025 #5 Hakuna mnyamwanga anayeitwa hivo.
Chilemba wamela pamputi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 544 Reaction score 598 Jun 8, 2025 #6 LIKUD said: Wakuu kwema? Naomba kujua jina msangawale ni kabila gani na nini maana yake. With much thanks in advance Click to expand... Kaka msangawale ni wafipa hao kaka
LIKUD said: Wakuu kwema? Naomba kujua jina msangawale ni kabila gani na nini maana yake. With much thanks in advance Click to expand... Kaka msangawale ni wafipa hao kaka
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,883 Reaction score 185,291 Jun 8, 2025 #7 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
1academ JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 2,673 Reaction score 4,318 Jun 8, 2025 #8 Jaluo jinga jeurii