NZALAMALENGA
Senior Member
- Nov 18, 2014
- 141
- 25
Nimewakalili baadhi ya waliotangaza kuusaka Urais kwa hali na mali
Baada ya walio wengi kuona mambo ni magumu kwa kambi zao kukimbiwa na watu hasa vijana.......
Juzi Mwanza kulikuwa na Mkutano wa Wadau wa Pamba mkutano ambao Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Stephen Masato Wasira (Mb)
Wadau wengi wakiwemo wabunge wa Kanda ya Ziwa ambao ndio walikuwa wengi walionesha nia ya kumuunga mkono Pamoja na kumchukulia Form ya Urais.
My Take TUSUBIRI TUONE.