Jina lako na Hatima ya kesho yako

Jina lako na Hatima ya kesho yako

Dah! Aisee!!! Mbona me Nilipewa Jina la mtu maarufu sana kwenye Bible enzi za agano la kale, lakin Sasa Tabia zangu na huyo mtangulizi wangu tofauti kabisa

Nafanyaje hapo? Nibadilishe Jana au?
 
Mwalimu leo nimeota ndoto mbili

Ndoto ya kwanza Kuna mtu kaja akanibadilishia jina akaniita James nini maana yake?

Ndoto ya pili nimeota niko saloon nayoa nywele kwa mtindo mzuri wa kisasa na baada ya kumaliza kunyoa nikapata Pico yaan black nini maana yake?
Asante
Mwl Mwakujonga
 
Nakungoja hapa mwalimu Mwl Mwakujonga
 
Utangulizi

Miaka ya 2000s kipindi kile cha wapenzi wa mpira wa Miguu tunakumbukumbu za mchezaji wa Brasil wakati huo alikuwa ni Ronaldo kwakweli alikuwa ni mchezaji mzuri Sana na kwakufanya vizuri kwa Brasil kulikuwa na mchango Mkubwa sana kutoka kwake

Matokeo Yake wazazi wengi wakawa wanawaita watoto majina la Ronaldo yakawa mengi Kwa watanzani na wapenzi wa mipira Kwa ujumla

Miaka ya 2010's Jina la Obama na watoto wake Sasha na Malia Obama yalikuwa majina maarufu Sana na wazazi wengi waliwapa watoto wao majina hayo.

Kitu ambacho nimekuwa najiuliza kwanini wazazi wamekuwa wakipenda kuwapa majina watoto wao majina hasa ya watu maarufu kama wasanii ,wanamichezo , wanasiasa etc, kuna Siri gani katika Jina la MTU ?

Siri zilizoko kwenye Jina
Kwenye maandiko matakatifu pia tumeona Mungu alipokuwa anawatumia watu wake katika kuwabariki au kuwapa nafasi ambayo ni kubwa ambayo Mungu alikusudia juu Yao aliwabadilishia majina

Mfano tunaona kwa Abraham's alibadilishiwa Jina na kuitwa Ibrahimu , Simon kuitwa Petro ,Saul kuitwa Paul , pia hata wakina Daniel pia walipokuwa babeli walipewa majina pia

Danieli 1:7 Mkuu wa matowashi akawapa majina; alimwita Danieli, Belteshaza; na Hanania akamwita Shadraka; na Mishaeli akamwita Meshaki; na Azaria akamwita Abednego.

Sababu na Siri zilizoko ndani ya Jina

Mithali 22:1 Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi;...

Point ya Kwanza
Biblia inaposema neno heri maana yake ni baraka, Neno Heri katika Luka 6:20 limetuka kama Blessed ambayo maana yake ni baraka au kubalikiwa,

Kwa hiyo ndani ya Jina kuna Baraka za ambaye anakupa Jina Kwa hiyo kama Jina umepewa na Mungu maana yake kuna Baraka za Mungu na kama umepewa na mababu kuna Baraka za mababu(mizimu)

Point ya Pili
Ndani ya Jina kuna Mali nyingi, kama Biblia inasema ni heri kuchagua Jina Jema kuliko Mali nyingi kihesabu kwamba Jina njema thamani Yake ni kubwa kuliko Mali nyingi Kwa hiyo Jina Jema ni zaidi ya Mali nyingi unaweza kupitia zile Hesabu greater than (x_\y)

Point ya Tatu
Kama Jina Jema ni zaidi ya Mali nyingi inamaana Jina Baya ni chini ya mali nyingi, Kwa hiyo ndani ya Jina kuna utajiri pia ndani ya Jina kuna umaskini , Kwa hiyo Jina linabeba umaskini au utajiri

Kuna watu ni maskini Kwa sababu Tu ya majina ambayo wameyabeba, kuna watu wanaitwa matatizo , shida etc sasa shida nawewe zitakuachaje

Point Nne
Jina limebeba utambulisho wa MTU jinsi ulivyo ni matokeo ya Jina lako
1 Samweli 25:25 Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao;..

Point ya Tano
Ndani ya Jina kuna tabia za MTU ndiyo maana kama umechagua Jina la MTU ambaye alikuwa ni mlevi au ambaye ameoa wanawake wengi ujue na hiyo tabia itaambana na Yule ambaye amerithi Jina

Waebrania 1:4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

Point ya Sita
Jina linakupa kile ambacho umerithi ,Yesu alirithi Jina la Baba ambalo ni Yesu na aliporithi ilo Jina arithi na ubora ulioko ndani ya Jina Kwa hiyo ubora wa Yesu hauko Tu Kwa Yesu pekee yake lakini pia kwenye Jina

Point ya saba
Jina linabeba sababu ya wewe kuja duniani? Kwa hiyo Jina linatambulisha kazi yako Katika ulimwengu wa Roho

Mathayo 1:21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
Mwalimu mwakujonga
 
Mwalimu leo nimeota ndoto mbili

Ndoto ya kwanza Kuna mtu kaja akanibadilishia jina akaniita James nini maana yake?

Ndoto ya pili nimeota niko saloon nayoa nywele kwa mtindo mzuri wa kisasa na baada ya kumaliza kunyoa nikapata Pico yaan black nini maana yake?
Asante
Unaenda kubadili mtindo wa maisha kutoka ulionao kwa sasa kwenda ki
Mwalimu leo nimeota ndoto mbili

Ndoto ya kwanza Kuna mtu kaja akanibadilishia jina akaniita James nini maana yake?

Ndoto ya pili nimeota niko saloon nayoa nywele kwa mtindo mzuri wa kisasa na baada ya kumaliza kunyoa nikapata Pico yaan black nini maana yake?
Asante
Unabadili mtindo wa maisha kutoka unavyoidhi sasa na kuishi kisasa zaidi lkn ndoto ya pili inatafasiri kuwa hakuna kitakacho badilika.
 
Pumbavu kutokea mwaka jana....
Na sasa ni 2024, hii mada yako ni ya kipumbavu....
 
Mwalimu leo nimeota ndoto mbili

Ndoto ya kwanza Kuna mtu kaja akanibadilishia jina akaniita James nini maana yake?

Ndoto ya pili nimeota niko saloon nayoa nywele kwa mtindo mzuri wa kisasa na baada ya kumaliza kunyoa nikapata Pico yaan black nini maana yake?
Asante
Maana yake..
Kafe mbele huko
Toa ujinga wa ndoto hapa
 
Back
Top Bottom