Salamu Maria mkingiwa dhambi ya asili muombee setfree, mama yetu waridi lenye fumbo
Nilime, nishavuna sasa Ila badoAfadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii
Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo: Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye...www.jamiiforums.com
Pole sana, kama huo uzi hujauelewa labda huu utakusaidiaNilime, nishavuna sasa Ila bado
Mama Bikira Maria ndo kimbilio
Pole sana. Wahi hospitali wakusaidie kutoa sumu uliyoinywa leoMaua pub mbagala
Sasa hapo unanionea wivuHahaa, waambie wakuu wa JF wafute na hicho "cheo" chako cha u-Platinum
Nitolee upumbavu mm nipo hapa baa nalewa na bwana wakoPole sana. Wahi hospitali wakusaidie kutoa sumu uliyoinywa leo
WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...www.jamiiforums.com
We acha tu, maisha ya jehanam yasikie tu kwa yule tajiriMm nna trend jehanamu, Niko nawaandalia kitimoto choma nyie watu wa jehanamu watarajiwa π
Mbona mm naishi poa tuu hukuWe acha tu, maisha ya jehanam yasikie tu kwa yule tajiri
Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele
Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana mwisho mbaya mno. Ni mateso ya milele na milele. Tafadhali, fuatana nami leo tuitafakari habari ya tajiri...www.jamiiforums.com
Mtumishi leo umeandika fupi hadi namie nimeisoma yote, ubarikiwe....uwe unaandika hivi ya kusomeka sio marefu kama ya Lucas MwashambwaLeo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum?
Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie.
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu.β
Mnaosema mada zangu ni ndefu, hamuwezi kusoma mpaka mwisho, semeni sasa: na hii mmeshindwa kuisoma mpaka mwisho au huwa ni geresha tu π