Jina lako lina chapa mbili

Jina lako lina chapa mbili

Asa mwanzo nilikusoma fresh nikakuelewa na nikavutiwa coz na mimi nahisi na chapa mbili ( ya kimungu na kuzimu) but ulivyoingiza siasa ukanipoteza mazima.....am truly hate politics!!



"I trully hate. ,,, NOT am trully hate"
 
Mungu pekeyake ndiye atakayeweza kutupitisha salama kwenye uchaguzi huu....tuuombee sana huku tukiikataa ile chapa ya pili chapa ya kuzimu
 
Chunguza kwa makini huwezi kukosa mfano wa walao mtu mmoja unayemfahamu ambaye alikuwa ni mshika dini na mlokole hasa halafu akaanguka dhambini, huwa mbaya maradufu ya vile alivyokuwa mwanzoni na mtu wa namna hii ni ngumu kusimama na kumrudia tena Mungu
 
Ni kitu ambacho hujawahi kukiwaza au kukisikia popote, lakini pia Inawezekana kabisa umeshakisikia tena mara nyingi tu lakini pengine kwa lugha tofauti.

Jina lako lina chapa mbili, chapa ya kuzimu na chapa ya mbinguni au kwa maana nyingine chapa ya nuru na chapa ya giza
Kawaida ya mwanadamu hupenda kubalance mambo kwa shetani kidogo kwa Mungu kidogo...kiasili jina lako huandikwa mbinguni tangu uumbaji na unapoingia duniani hufanya new registration ya kuzimu ambayo ndio huwa na nguvu zaidi ya kutawala maisha yako.

Pale unapoangaziwa , kwa imani yoyote ile na kuacha mabaya yote na kuamua kumrudia Mungu wako ni kipindi ambacho hutaka kufuta ule usajili wa kuzimu na kubaki na usajili wako wa asili, usajili wa mbinguni.

Hapa ndipo penye shida na ukisikia vita ya kiroho basi ujue ni hii . shetani hayuko tayari umkimbie kwakuwa usajili wake huweza kufutika tofauti na ule wa mbinguni au haufutiki milele, ni kipindi hiki ambapo shetani hukodi majeshi yake yoote kwa ajili ya kukurudisha kwenye himaya yake...hii ni vita ngumu mno vita ya kiroho vita ya mbingu.

Chunguza kwa makini huwezi kukosa mfano wa walao mtu mmoja unayemfahamu ambaye alikuwa ni mshika dini na mlokole hasa halafu akaanguka dhambini, huwa mbaya maradufu ya vile alivyokuwa mwanzoni na mtu wa namna hii ni ngumu kusimama na kumrudia tena Mungu.

Mtu wa namna hii anapoamua kusimama dede na kupambana kiroho, mbingu hutakisika, familia na jamii huingia katika mkanganyiko mkubwa mambo huharibika na hata vita yaweza kutokea katikati ya jamii hasa kama mlengwa alikuwa ni mtu mwenye nafasi ya kimamlaka na ushawishi katika jamii.

Tunaelekea kwenye uchaguzi ambao kwa namna moja au nyingine na kwa uroho wa madaraka na kutawala kuna baadhi ya washika dau wakaambiwa kuhusisha nguvu za giza lakini vilevile baadhi kwa mapenzi mema kabisa wakaamua kumhusisha Mungu moja kwa moja...hapa tutaingia kwenye uchaguzi wenye chapa mbili mbili uchaguzi wenye utusi tusi wenye vita ya kiroho kati ya ufalme wa nuru na ufalme wa giza.

Mungu pekeyake ndiye atakayeweza kutupitisha salama kwenye uchaguzi huu....tuuombee sana huku tukiikataa ile chapa ya pili chapa ya kuzimu
into the bad land ilijaribu kueleza ili kidgo tu.
 
Chunguza kwa makini huwezi kukosa mfano wa walao mtu mmoja unayemfahamu ambaye alikuwa ni mshika dini na mlokole hasa halafu akaanguka dhambini, huwa mbaya maradufu ya vile alivyokuwa mwanzoni na mtu wa namna hii ni ngumu kusimama na kumrudia tena Mungu
hata biblia kitabu cha ufuno inalaani vikali zaid mtumish wa mungu akizin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom