Jina lako la kichawi

Wote mnaotekwa na huyu, mna ujinga wa kiwango cha uprofessa!

Eti angalia jina la kichawi nawe unajikurupukia. Tena leo ni jumapili Mungu anawaona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] najua kilichokuuma ni tafsiri ya A-cursed! Yaani mlaaniwa.... Nafahamu fika uliangalia kwanza kabla ya kureply

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana jina la ubini ni lipi ndugu wengine kiswahili tulipata bashite[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…