Jina lako la kichawi

Jina lako la kichawi

Mshana, ndio naiona hii Comment/jibu la iliyiokuwa ni moja ya maswali yangu....!!

Nilistaajabu kidogo na jibu la pale awali..! sababu liliegemea upande tofauti na Tabia/mwenendo wa maisha yangu.

Kuna haja ya kukufuata PM, nikueleze mengi zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani Mshana kutokana na muongozo wako Mimi ni Divine Soul, naomba maana yake kiroho.Aksante.
 
Back
Top Bottom