Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,283
Hivi vitu mbona mm havijawahi nitokea, kils ninslofanya huwa ni matokeo ya hustle zangu tu
Mfano mtu akishikwa pepo unamuombea kwa jadi ipiMungu alikupa ubongo ili ufikirie kwa makini, "ni kweli Mungu alimtoa mwanae kafara?" Usiamini tu kabla ya kuhoji, ulihoji? Ulipotishiwa na moto wa milele ukaamini chapchap! Mungu wa kweli anasikitika kwa watu wake kuingizwa mkenge. Waafrika wenzangu, turudi kwenye jadi yetu. Kwenye jadi ukiomba unapata, mf. Ukame, ukiomba kwa dhati kwa kutumia mababu zetu mvua inanyesha. Sasa tumia hizi imani za kizungu, utapiga magoti mpaka yachubuke lakini wapi! Sio jadi yako.
Hapana Hao mababu wapo connected na miungu mingine ndio IPO mingi Sana lakini Mungu mwenyewe ni Wa Israeli ameturuhusu na sisi wengine tuipate neema hii ndio maana tunaambiwa USIABUDU MIUNGU MINGINE miungu hiyo inakuruhusu kuroga watu, kuwa mwizi na kufanya mambo mabaya Mungu Wa Israeli haruhusu hayo mambo ukifuata kanuni zake utaishi maisha ya kubalance na binadamu wenzako bila kuwaumizaBetty Marandu, Mungu wa kweli anapatikana kwa kuzingatia mababu zako, sio mababu wa kizungu. Hebu kwa upande wa baba wajue kama wanne vilevile upande wa mama. Kila unapoamka wataje kwa majina kimoyomoyo ili wakuunganishe na Mungu wa kweli. Kumbuka wao ni roho na Mungu ni roho, watawasiliana vizuri na watakuunganisha nae. Ukristu ni biashara, Mwafrika angezinduka nae angewapelekea Yesu wa Afrika huko Ulaya.
Ukiijua kweli itakuweka huru endelea kusoma Sana uliza watu kuhusu usahihi wa Bible kisha take time kusoma hiyo Bible...Nguvu iliyopo ni ile ya Magic spell za kiumbe unachokiomba, unatakiwa ujuwe kuwa kiroho kila kitu kina maana, ndiomaana tunawafundisha msiwe na tabia za kujiita majina ya hovyo ama majina ya utan yenye maana za hovyo.
Kiroho kila kitu kina maana yake na uwezo fulan, ila hatutambui haya, hata wew kupitia utambulisho wa jina lako una nguvu fulan ya kutenda muujiza fulan ambao kwa mtu asiye na jina lako hawezi wala wew huwezi kutenda muujiza wa huyo mwenye jina tofaut na lako.
Huyo mnaemuita Yesu hilo jina liliundwa na warumi huko Nicaea conference ili kuuwa asili ya Mkombozi wa kweli ambaye hakuitwa yesu, tafuta dunia nzima hutoona ushahidi wa uwepo wa Yesu, bali utaona uwepo wa Mtu fulan ambaye alikuwa na Tabia ambazo Yesu wenu amepachikwa hizo tabia, baada ya huo mkutano wa warumi.
Warumi tabia zao ilikuwa kuabudu mashetan kuptia ibada zao za kipagan ktk kanisa la mchongo la katoric, miaka ya 325 A.D waliunda muhusika mpya wa kidini ambaye angesemekana kuwa kama Mungu mwana wa kubeba dhambi za wanadamu na kumpa uhusika feki kuwa aliwai kuishi huko middle east ktk israel ya mchongo, na wakabadiri majina ya kristo wa kweli ambaye hakuitwa yesu hapo kabla, lkn wao wakaunda jina jipya la Pepo aina ya Mbuzi dume awe mfano wa Kristo na mwana wa Mungu, na jina la huyo kiumbe linatambulika kama Jesus, Yesu, Yeshua, IEUS, Zeus, Azazel.
Kama yalivyo matambiko na ibada za ushirikina ili umuite Jini fulan ama pepo fulani nilazima ulihusishe jina halisi kwa ufasaha ktk ibada yako, na ndivyo ilivyo hata kwa waombaji wa huyo yesu unapomtaka ktk maombi jua unamuita Jini aina ya mbuzi dume ambapo ukikidhi vigezo ktk maombi yako linaweza kukutendea muujiza wowote(manabii wenu wanajua hili).
Jini hilo hilo mnaloita Yesu ndilo hilo hilo linatumika ktk ibada za washirikina na matambiko ya umwagaji damu, hao illuminati wanalijua hili maana ndio nguzo yao, wakatoric pia wanajua zaid hili, nazungumzia wale wakatoric vyeo vya juu sio ninyi waumini wafuata mkumbo, .
Ktk maombi ya kiroho una uwamuzi wowote wa kutumia nguvu kutoka ktk kiumbe chochote kupambana na adui, haijalishi huyo adui wako yuko upande wa giza hata icho kiumbe ukiombacho kinaweza kukusaidia kupambana na mshirika mwenzake ilihali kikuaminishe kuwa chenyewe ni kiumbe chema na ukitumikie ama kukiabudu.
Narudia, huyo mnaeita Yesu ktk dini zenu hajawai kuwepo alitungwa na wazungu kwa kuiba historia ya manabii ambao hawakuwa wakazi wa asia wala ulaya bali Africa, kutokana na ubaguzi wa rangi waliamua kubadili historia ionekane Mkombozi wa kweli hakuwa mtu mweusi bali myahudi wa uko middle east, na wakabadiri majina ndipo wakawaletea hiyo nadharia yao ya ushetani.
Jiulizen kama Huyo Mungu mnaemuomba makanisan na misikitin ni wa kweli kwann tangu muanze kumuomba mabaya hayaishi wala majanga hayatatuliki? Je shetan ana nguvu kulko Mungu mnaemuomba? Jibu n kuwa yule aliyeahidi kuchukua mamlaka ya kuabudiwa na wanadamu kilazima ndie huyo huyo mnaemuita Mungu ktk dini zenu na anawapotosha.
Niishie hapo nisije kuwachanganya.
Huenda huyo aliyekuwa akikukaba ni Yesu na alipojua umemtambua alikuacha ili usimshitaki. Vinginevyo ni magonjwa ya kawaida ya akili au temporal insanity. Huenda hata ungetamka jina langu angekuachia. Yaani unaamini katika ndoto!Mara nyingi nimesikia watu katika masimulizi yao walipokumbwa na ili za Shetani waliponiambia kwa jina Yesu walipata mpenyo .
Mfamo nakumbuka mwaka ya 2005 nikiwa nimelala ndotoni nilitokea mtu mmoja akiwa amekusudia mabaya juu yangu amenitaiti kweli kweli kila nikikukuruka ananishinda nguvu nilipotamka kwa jina la Yesu niahachie akaniachia nikamshinda.
Naomba na wewe share nasi namna jina la Yesu lilivyoweza kukupa ushindi katika ila zake Shetani.
Asante na karibuni...
Unaota mara moja tu kwamba ukristo ni mchongo unaamka na kushika ndoto yako,ila ukiota umepakatwa unakuwa mkali na kuhakiki maungo yako kama yameathirika ukiamka.