Jina la Dar es salaam ni CHAFU, DHAMBI

Jina la Dar es salaam ni CHAFU, DHAMBI

Watanzania wenzangu wenye mawazo mapya na wasiokumbatia kwa itikadi, kwa nini huu mji uitwe jina la kutukuza Sultani wa Zanzibar aliyekuwa anavusha watumwa kutoka kijiji cha MZIZIMA, na kwa jinsi biashara ilivyokuwa laini akaamua kuiita BANDARI YA SALAMA, kwani wazaramo hawajampa upinzani wowote kuichukua watumwa.
nchi ngapi Duniani zimebadili majina ya miji mikuu? au kwa sababu waliooongoza mji mkuu huu ni wazee wajinga wasiofikiri chochote bali ukubwa tu watukuzwe?
au ndio LAANA ya mwafrika inaendelea? nawaombeni kwa Heshima ya Babu zetu walioteswa na kufa, Tubadilishe jina hili la Adui aliyewatesa Babu zetu.

najua mtauliza, ndio, napendekeza turudishe jina lake la kale au tuchague haya:
1 Mzizima, jina lake la mwanzo kabla ya uvamizi wa waarabu.
2 Tanganyika, ili jina kubwa hili lisife, aminini Duniani linajulikana kuliko Tanzania.
3 Bongo, ni jina ambao linamaanisha ubongo wa akili, ni zuri
4 Tanzania, ili endapo muungano utavunjika hili jina lisipotee lishajulikana duniani.
5 Zaramo, wenyeji wa asili.
Naomba mashujaa wa Taifa wachangie.

Hili jina limechakachuliwa dar es salaam ni jina lenye asili ya kiarabu na lina andikwa daru-salaam nyumba ya amani na sio bandari ya salama.kwahiyo kutokana na kupindisha maneno na hii ndio adha yake sasa!
 
Wazo ni zuri kwa wenye ufinyu wa mawazo, sasa badilisheni na majina yenu yawe yote ya asili, ili tutoe kabisa kumbukumbu za warabu na wazungu.
 
Hii hoja ni dhaifu na haina umuhimu wowote.

Kwanza tuangalie maana ya jina ''Dar-es-salaam''. Hili ni jina au neno la Kiarabu na maana yake ni: BANDARI au MJI WA AMANI au kwa kimombo '' A HAVEN OF PEACE"
Hii maana ina ukweli wake kwasababu mpaka leo hii Tanzania imekuwa ni NCHI YA AMANI tangu ipate uhuru. Kwa hiyo mimi nasema jina hili liendelee kwasababu naamini limechangia kwa sehemu kubwa kuifanya nchi yetu kuwa kisiwa cha AMANI.

Siyo kweli kwamba majina,maneno au vitu vyote vilivyoachwa na Waarabu au Wakoloni ni vibaya au dhambi kuviendeleza.Je, wenzetu wa Afrika Kusini nao watasemaje kuhusu majina ya miji yao ambayo iliitwa au kuanzishwa na Makaburu???Kuna J'burg,Pretoria,Cape Town n.k. Je,wayafute na kuanzisha ya kwao simply because walianzisha makaburu??? Sio kweli.
 
Hapo kwenye underlined ndio pana udhaifu wa kufikiri! Hivi ina maana kama SA wao hawajabadili majina ina maana sie tukibadili ni makosa? Je , kitu sahihi kufanya ni kile tu ambacho kimefanywa na wenzetu wa nje especially nchi zilizoendelea? Hivi sisi hatuwezi kufikiri wenyewe na kuamua lililo bora kwetu au baya mpaka tuwageze wengine kwanza? Hatuna uhuru wa kufikiri? au hatufikiri kabisa , tunapaste tu? Mimi naweza kukuunga mkono kuwa tusibadili jina la mkoa lakini si kwa hoja hiyo yako !
 
Watanzania wenzangu wenye mawazo mapya na wasiokumbatia kwa itikadi, kwa nini huu mji uitwe jina la kutukuza Sultani wa Zanzibar aliyekuwa anavusha watumwa kutoka kijiji cha MZIZIMA, na kwa jinsi biashara ilivyokuwa laini akaamua kuiita BANDARI YA SALAMA, kwani wazaramo hawajampa upinzani wowote kuichukua watumwa.
nchi ngapi Duniani zimebadili majina ya miji mikuu? au kwa sababu waliooongoza mji mkuu huu ni wazee wajinga wasiofikiri chochote bali ukubwa tu watukuzwe?
au ndio LAANA ya mwafrika inaendelea? nawaombeni kwa Heshima ya Babu zetu walioteswa na kufa, Tubadilishe jina hili la Adui aliyewatesa Babu zetu.

najua mtauliza, ndio, napendekeza turudishe jina lake la kale au tuchague haya:
1 Mzizima, jina lake la mwanzo kabla ya uvamizi wa waarabu.
2 Tanganyika, ili jina kubwa hili lisife, aminini Duniani linajulikana kuliko Tanzania.
3 Bongo, ni jina ambao linamaanisha ubongo wa akili, ni zuri
4 Tanzania, ili endapo muungano utavunjika hili jina lisipotee lishajulikana duniani.
5 Zaramo, wenyeji wa asili.
Naomba mashujaa wa Taifa wachangie.

hilo jina nizuri na limetulia kwa alie na akili.wee vp kama huna la kusema shut up ok!
 
Hapo kwenye red siyo maana halisi ya Dar Es salaam. Neno DAR kwa kiarabu humaanisha nyumba (house) na siyo bandari. kihistoria Uislam unaigawa dunia katika nyumba mbili, House of peace (nyumba ya salama) yaani Dar es islam na House of war(nyumba ya vita) Dar al harb. Watu wanaoishi dar es salaam ni waislam na kuna amani ya kiislam, lakini dar al harb watu wake siyo waislam na mujaheeden wana haki ya kupigana nao hadi wote wawe waislam, they are the house of war. ( Dar es salaam = Dar es islam).

Tumeongopewa na kudanganywa vya kutosha, chukua hatua.
 
...ni jina la eneo lote hili katika enzi Issa ibn Marium au Yesu Kristo.[/QUOTE]

KAKA HAWA NI WATU WAWILI TOFAUTI,PENGINE UNGETUMIA na BADALA YA au!!!
 
..mji wa Maputo wakati wa Mreno ilikuwa unaitwa Lorenzo Marques.

..Harare wakati wa walowezi ilikuwa inajulikana kama Salisbury. wao walibadili hata jina la nchi toka Southern Rhodesia kuwa Zimbabwe.

..wakati wa utawala wa Muingereza Zambia ilikuwa ikiitwa Northern Rhodesia.

..nadhani tayari kuna mchakato wa kubadilisha Johanesburg kuwa Tswane.

..kwa mtizamo wangu ingependeza kama tungebadili jina la mji huu kuwa la KIAFRIKA zaidi.
 
Hii hoja ni dhaifu na haina umuhimu wowote.

Kwanza tuangalie maana ya jina ''Dar-es-salaam''. Hili ni jina au neno la Kiarabu na maana yake ni: BANDARI au MJI WA AMANI au kwa kimombo '' A HAVEN OF PEACE"
Hii maana ina ukweli wake kwasababu mpaka leo hii Tanzania imekuwa ni NCHI YA AMANI tangu ipate uhuru. Kwa hiyo mimi nasema jina hili liendelee kwasababu naamini limechangia kwa sehemu kubwa kuifanya nchi yetu kuwa kisiwa cha AMANI.

Siyo kweli kwamba majina,maneno au vitu vyote vilivyoachwa na Waarabu au Wakoloni ni vibaya au dhambi kuviendeleza.Je, wenzetu wa Afrika Kusini nao watasemaje kuhusu majina ya miji yao ambayo iliitwa au kuanzishwa na Makaburu???Kuna J'burg,Pretoria,Cape Town n.k. Je,wayafute na kuanzisha ya kwao simply because walianzisha makaburu??? Sio kweli.

South Africa wanabadili majina, na Capital haiitwi Pretoria, imeshabadilishwa ina TSHWANE na haijapigwa marufuku kuiiita pretoria mpaka Tshwane ijulikane, na ndio jina lililokuwa linatumika kwenye mechi za world cup
 
sasa mbona ALEXANDRIA ipo Misri na jina lakizungu fikiri kabla hujaongea na kuandika

Alexandria ilikuwepo kabla ya egypt kuwa nchi ya kiislam, actually hata kabla uislam haujakuwapo. Kama unajua historia kidogo rejea Alexander the great, mgriki aliyeishi miaka mingi BC ambaye aliiangusha persian empire na kutawala kwa muda mfupi kabla ya kifo chake miaka mingi tu kabla ya roman empire.
Tukirejea kwenye hoja utaona kuwa jina halisi la mahala hapa ni Mzizima, jina zuri la kibantu fahari ya mwaafrika, lakini lilibadilishwa na wakoloni, wakamata watumwa wa kiaarabu na kuwa Dar es salaam, kukidhi maudhui yao. Lakini nini hasa maana ya dar es salaam? bandari salama? au nyumba ya amani? (dar es salaam = dar es islam, dar = house/nyumba)

Uislam unaigawa dunia makundi mawili yaani dar es islam (nyumba ya amani) na dar al harb (nyumba ya vita), nyumba ya amani ni kule ambako uislam umekubalika na kuna amani ya kiislam, dar al harb ni kule ambako uislam haujakubalika na mujaheeden wana pigana kuwafanya watu wa huko wawe waislam.

Swali la kujiuliza, je watanzania wote kweli tupo dar es islam? mbona kuna waumini wa dini tofauti na uislam? si bora tungepaita dar al harb. Mkoloni alifanya hivyo bila kujali maoni ya wananchi, wakati umewadia wa kujivunia uafrika wetu na kutupilia mbali ukoloni. CALL THIS TOWN MZIZIMA NOW!!
 
Angalia nchi zilizobadilisha majina ya miji walipostuka, je sisi hatujastuka bado? Dar-es-salaam aliita Sultani wa Zanzibar baada ya kuvimbiwa kwa ulaini wa biashara ya utumwa baada ya wenye kijiji enzi hizo Mzizima kuonewa vibaya. sasa jina baya hata ukijaribu kuitangaza nje unaambiwa mbona jina la kiarabu? au nchi yenu ni ya waarabu? wazalendo kazi kwenu...
Natoa mifano midogo tu, ya majina ya miji hapo mwanzo na leo.

Pakistan., Sahiwal - Montgomery 1966, Zhob ilikuwa Fort Sandeman 1976.
Ureno ,Lisbon, Lisboa ilikuwa al-usbuna
Singapore,Singapore ilikuwa Tamasek
South Africa, Polokwane - Pietersburg 2005, Mbombela ilikuwa Neilspruit mpaka 2010,
AMkhazeni ilikuwa Belfast, KwaDukuza ilikuwa Stanger
Spain, Barcelona ilikuwa Barcino Nova, Ciudad Real - Villa Real, Zaragoza -Caesaraugusta
Swaziland, Mhlambanyatsi ilikuwa Buffelspruit, Bulembu ilikuwa Havelock mine
Swiss, Bern ilikuwa Brenno,Kaiseragst ilikuwa Augusta Raurica
Tanzania, Kasanga ilikuwa Bismarckburg, Tabora ilikuwa Weidmannsheil
Uturuki, Instanbul ilikuwa Costantinopolis
England and UK, Nottingham ilikuwa Tigguo Cobauc,Leicester - Ratael Corieltauvorum
Edinburgh ilikuwa Dun Eideann, Perth ilikuwa St. John Toun
Marekani, Chicago ilikuwa Dearborn, New York ilikuwa New Amstardam
Atlanta ilikuwa marthasville,San Francisco ilikuwa Yuerba Buena
Zimbabwe, Harare ilikuwa salibury, Nyanda ilikuwa fort Victoria
Canada, Vancouver ilikuwa Wu’muthkweyum, Victoria ilikuwa Fort Camosun
Toronto ilikuwa Fort Rouille, Montreal ilikuwa Hochelaga, Ottawa ilikuwa Bytown
Chad, N’Jdamena ilikuwa Fort Lamy
China, Beijing iliitwa Zhongdu, Peking, Guangzhou iliitwa Canton
Congo Zaire, Kinshasa - Leopoldville,Kisangani - Stanleyville, Lubumbashi – Elisabethville, Bukavu - Costermansville
Misri, Aswan ilikuwa Syene
Guinea E. Malabo ilikuwa Santa Isabel
France, Paris iliitwa Letizia, Lyon iliitwa Lugdunum
India, Calkota iliitwa Fort William, Chennai iliitwa Madras
Mumbai iliitwa Bumba, Boa baia, Bombay hadi 1991.
Indonesia,Jakarta iliitwa Batavia
Iran, Hamadan iliitwa Ecbatana
Italy, Milano iliitwa Mediolanum
Japan, Tokyo iliitwa Edo, na Toyota iliitwa Koromo, Osaka iliitwa Naniwa.
Jordan, Amman iliitwa Philadelphia
Msumbiji, Maputo iliitwa lourinco Marques.
 
Alexandria ilikuwepo kabla ya egypt kuwa nchi ya kiislam, actually hata kabla uislam haujakuwapo. Kama unajua historia kidogo rejea Alexander the great, mgriki aliyeishi miaka mingi BC ambaye aliiangusha persian empire na kutawala kwa muda mfupi kabla ya kifo chake miaka mingi tu kabla ya roman empire.
Tukirejea kwenye hoja utaona kuwa jina halisi la mahala hapa ni Mzizima, jina zuri la kibantu fahari ya mwaafrika, lakini lilibadilishwa na wakoloni, wakamata watumwa wa kiaarabu na kuwa Dar es salaam, kukidhi maudhui yao. Lakini nini hasa maana ya dar es salaam? bandari salama? au nyumba ya amani? (dar es salaam = dar es islam, dar = house/nyumba)

Uislam unaigawa dunia makundi mawili yaani dar es islam (nyumba ya amani) na dar al harb (nyumba ya vita), nyumba ya amani ni kule ambako uislam umekubalika na kuna amani ya kiislam, dar al harb ni kule ambako uislam haujakubalika na mujaheeden wana pigana kuwafanya watu wa huko wawe waislam.

Swali la kujiuliza, je watanzania wote kweli tupo dar es islam? mbona kuna waumini wa dini tofauti na uislam? si bora tungepaita dar al harb. Mkoloni alifanya hivyo bila kujali maoni ya wananchi, wakati umewadia wa kujivunia uafrika wetu na kutupilia mbali ukoloni. CALL THIS TOWN MZIZIMA NOW!!
Mujahedeen mbona hujaitafsir?
Unaleta upupu humu hauna maana yeyote?
Mbona majina ya kizungu ati mnayaita ya kidini yamejaa maana tofauti na matendo yenu?
Emmanuel ni nini maana ake?
Clement?
Rahel?
Grace?
.......
 
Baba yenu nyerere alishawapelekeni dodoma sasa munaitakia nini Dar es salaam, DSM sio kwenu ndio maana hukudhamini kama ndio hivyo kila cha asili kirudishwe kwenye asili yake na nendeni kwanza mukabomoe yale makanisa yenu muliyoyajenga baada ya kuvunja misiskiti
Ovyoooooooooooooooooooooo
:A S cry:
 
Asante kwa research mtoa mada. educative piece of work! Binafsi nilisikitika kubadilishwa kwa Zaire kurudi Kongo DRC. Nadhani Zaire ilikuwa nzuri zaidi kwa nchi na ni jina la kwao wenyewe...no matter the politics behind it. Nadhani sio mbaya tukirudi kwenye Mzizima for Dar es Salaam. na kwa vile Tanganyika inakuja, basi turudishe Mzizima pia.
 
Back
Top Bottom