Jina la Benki hii lipi?

Shangaa zaidi na hii PPF fund.
Ni kwa kwamba baada ya kubadili jina kutoka parastatal pension fund (ppf ) na kuwa PPF fund hiyo PPF haina kirefu tena bali ni single word.
 
Umekurupuka


 
Inaitwa CRDB Bank, neno CRDB siyo kifupi tena bali jina kama Mwanyasi
 
Kwa vyovyote hujaelewa ninachotaka kukifahamu. Cooperative Rural Development Bank ni CRDB lakini pana maandishi mengine ya "Bank" ndio maana nikasema Tazama Logo!
Neno CRDB, halina kirefu tena, ndiyo maana inaongezeka neno Bank mbele kama ilivyo TIB Bank siku hizi
 
Reactions: bbc
Uko sawa aisee
 
Kampuni nyingine zinaandikwa "Pty Ltd" ' ni nini maana yake mkuu?
Leta hilo jina hapa... hakuna na sijawahi kuona hicho kitu... mara nyingi tunatumia PLC au LTD... Public ni kampuni ambayo ina wamiliki kuanzia 7 na kuendelea na ndio maana CRDB ni Plc Haimaanishi kwamba ni ya serikali bali ni ya watu wengi yaan hata wewe unaweza nunua share na ukawa mmoja wa wamiliki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…