Usiyatazame mapenzi kwenye ulimwengu wa hisia pekee mkuu.Uzuri kuzagumuana hakujui jina.
Pameanza kuchangamka sasa 🍻 🍺Hamjambo wana MMU.
Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri.
Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo hivyo kiugumu. Unachoshwa na tabia zake. Katika pita pita zako huko unashawishika kutafuta pahali pa kujituliza kuepuka misongo unayopewa na mkeo. Katika hali isiyo kawaida unajikuta umekutana na binti ukampenda buana weee kumbe na yeye anaitwa Loveness. Hilo jina halikushtui,mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha, mara unagundua na yeye ni pasua kichwa tu unaachana naye. Siku zinaenda miaka inaenda unakutana na binti mwingine tena anatokea kukupenda unamtrace unakuta tena anaitwa Loveness. Mnazinguana tena, mwisho unajukuta umedate na wanawake wanne wote wanaitwa Loveness.
Kwa nini? Uzi tayari
Nimekunywa nini sasa bwasheee, ulevi ni ulevi tuu hata kushinda kanisani pia ni uleviDuh umeshalewa bwashee
😂😂😂😂 Badiiiii sanaaa hiiHamjambo wana MMU.
Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri.
Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo hivyo kiugumu. Unachoshwa na tabia zake. Katika pita pita zako huko unashawishika kutafuta pahali pa kujituliza kuepuka misongo unayopewa na mkeo.
Katika hali isiyo kawaida unajikuta umekutana na binti ukampenda buana weee kumbe na yeye anaitwa Loveness. Hilo jina halikushtui,mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha, mara unagundua na yeye ni pasua kichwa tu unaachana naye. Siku zinaenda miaka inaenda unakutana na binti mwingine tena anatokea kukupenda unamtrace unakuta tena anaitwa Loveness. Mnazinguana tena, mwisho unajukuta umedate na wanawake wanne wote wanaitwa Loveness.
Kwa nini? Uzi tayari
Kuna vibaka wanaitwa Godsend, na maafisa ubashiri wanaitwa GodwinHamjambo wana MMU.
Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri.
Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo hivyo kiugumu. Unachoshwa na tabia zake. Katika pita pita zako huko unashawishika kutafuta pahali pa kujituliza kuepuka misongo unayopewa na mkeo. Katika hali isiyo kawaida unajikuta umekutana na binti ukampenda buana weee kumbe na yeye anaitwa Loveness. Hilo jina halikushtui,mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha, mara unagundua na yeye ni pasua kichwa tu unaachana naye. Siku zinaenda miaka inaenda unakutana na binti mwingine tena anatokea kukupenda unamtrace unakuta tena anaitwa Loveness. Mnazinguana tena, mwisho unajukuta umedate na wanawake wanne wote wanaitwa Loveness.
Kwa nini? Uzi tayari
La Familiaaaa Lamar Classmate King kong Tanzaniaaa Tanzaniaaaaaaa haaaaaaaaaa kwanza mie nina kipaji toka kwa Mungu baba mama mzazi amenijalia nifike mbali nimewakamata level zangu hawanifikii napata heshima mafans wa kila aina silii njaa nipo peace linanilinda jina I'm king kong........Ilalaaaa Ilalaaa Ilalaaaaa Mikono mfululu yaani papapapapaapapaaaa wamekaaaaaaaa!!Hamjambo wana MMU.
Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri.
Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo hivyo kiugumu. Unachoshwa na tabia zake. Katika pita pita zako huko unashawishika kutafuta pahali pa kujituliza kuepuka misongo unayopewa na mkeo.
Katika hali isiyo kawaida unajikuta umekutana na binti ukampenda buana weee kumbe na yeye anaitwa Loveness. Hilo jina halikushtui,mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha, mara unagundua na yeye ni pasua kichwa tu unaachana naye. Siku zinaenda miaka inaenda unakutana na binti mwingine tena anatokea kukupenda unamtrace unakuta tena anaitwa Loveness. Mnazinguana tena, mwisho unajukuta umedate na wanawake wanne wote wanaitwa Loveness.
Kwa nini? Uzi tayari
Bali? Ongeza nyama kidogoUsiyatazame mapenzi kwenye ulimwengu wa hisia pekee mkuu.