Elections 2010 Jimboni Mtera

We Know Next

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
814
380
Ktk kipindi cha Jahazi cha Radio Clouds jioni hii, kuna hili limeripotiwa na producer Semalenga wakati wa kampeni za CCM, kuwa JK amesema vitu viwili vifuatavyo akiwa anamnadi mgombe wa jimbo hilo Bwana Lusinde.

1. JK anasema kuna wagombea wengine wameanza kazi ya hata kabla hawajaapishwa, wakiapishwa Je? "(Sijui inamtisha hii au anaifurahia)"

2. Mtera watapata mikonga ya simu kabla ya mwezi huu kwisha, ataongea na Makampuni ya simu na anauhakika wataifikisha mikonga hiyo kabla ya uchaguzi. (Hivi kumbe haya mambo yanawezekana kufanyika kwa muda mfupi kiasi hiki? Yangefanyika kwa miaka mitatu iliyopita nadhani TZ yote leo ingekuwa na mawasiliano) Haya wee
 
wapi wewe muda woote angewaona wakati kunamatamasha ya muziki UK na Marekani unataka nani akose uhondo wa club acha hizo bwana
 
Hivi TAKOKURU wako wapi? mbona tayari hiyo ni rushwa ya uchaguzi iliyosainiwa kwa mbwembwe?
 
......kwanini JK alivyokuwa mtera hakumpandisha MALECELA jukwaani kwa nyuvu kama mwakalebela...au kwa kuwa anajijuwa yeye nde amemchezea faulu????........amtume basi riz awakalishe malecela na mwenzake kama anayomtuma kwingine...cant wait to see malecela atamwambia nini....
 
hana jeuri ya kulipandisha tingatinga jukwaani.
 
Back
Top Bottom