Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

Kila mtu mnaona mzigo,hivi wewe DOMA una mzigo? kama hauna utakuwa unapakuliwa..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kama amepita kwa kura halali ngoja akagombee. Ni mtz na ana sifa za kuchagua na kuchaguliwa..... Japo inaleta shida kidogo ila wajumbe ndio waliamua
 
Kweli kufa kufaana
mg4.jpg
 
Sioi Sumari mwingine!!!Jimbo hilo limeenda Chadema km arumeru mashariki
 
ccm ni chama cha kifamilia, wengine mtakuwa wasindikizaji tu na kuwawezesha vigogo na watoto wao kuendelea kurithishana uongozi, na ndio maana taifa linazidi kuyumba sababu hawajui shida za wananchi, wao wamezoea kula na wataendelea kula, kumbuka marehemu Mgimwa, ndiye aliyeingiza kodi ya laini ya simu kinyemela bila kujali ugumu wa maisha wa watanzania wakiwemo wanakalenga, je! Huyo mwanae aliyezoea kula bata atawakumbuka wanakalenga, igeni mfano mzuri kwa wenzenu Arumeru mashariki, nako ccm walipeleka utawala wa kifamilia, kwa kumsimamisha mtoto wa marehemu waziri Sumari, wana wa Arumeru walikataa utawala wa kifamilia, wakamchagua kijana masikini mwenzao, mwenye uwezo wa kuongoza Nathali Joshua, ambaye anasimamia vilivyo maendeleo ya wananchi. Huyo jamaa naye hana hata aibu, baba yake kafariki juzi tu hapa, leo anataka kurithi ubunge lo! Wana kalenga tushirikiane kuondoa utawala wa kifamilia ulioasisiswa na mccm.

Tafuteni sera za maana za kuwaeleza wanakalenga... Hizi sio sera ni majungu tu na watu hawataki majungu. Wanataka muwaambie mtawafanyia nini?
 
Hii co nchi ya kifalme, wamewanyima elimu bora watoto wa maskin ili wao waendelee kututawala lakini wananchi wameshtuka yatamkuta yaliyomkuta Sioi Sumari.
 
Wanafikilia wananchi watamuonea uluma ya kuondokewa na Baba yake.
 
Umakini wa chadema unahitajika kumpitisha mgombea ili iwe kama kumsukuma mlevi
 
Back
Top Bottom