Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

Wanadhani Ubunge ni wa kurithishana kama mashamba - Recall Arumeru!!
 
Wanadhani Ubunge ni wa kurithishana kama mashamba - Recall Arumeru!!

kama ambavyo CHADEMA wanavyorithishana Mwenyekiti wa Chama, nasikia safari hii baada ya Mchame MBOWE ni zamu ya Mmachame LEMA.
 
kweli nyani haoni dudele. CHADEMA mnasahau kuwa mgombea wa CHADEMA siyo chaguo la Kamati kuu ya CHADEMA?
mimi sina chama isipokuwa ni mpenda demokrasia. ninachosema mimi ni kwamba ccm hawakuwa na mtu mwingine wa kugombea jimbo la kalenga badala ya kumwita mtoto wa marehemu kutoka uingereza na kumpa nafasi ya kugombea?, na nikatoa mfano wa arumeru kuwa kule nako walimwita mtoto wa mare
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom