Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

Beno Malisa anataka alichukue jimbo la Moshi vijijini..ila bado anaona akipitia magamba hatapata..labda aje CDM
 
Mipango ya chama chochote cha siasa ni kusonga mbele zaidi ya pale ilipofikia uchaguzi uliopita, na hatimaye kufikia lengo kuu la kushika dola ili kutekeleza ilani yake kwa wananchi! Ilipofika sasa Chadema ni hatua nzuri na ni dhahiri ya kwamba wananchi wanadhani inaweza kuwa ndio chama mbadala cha kuwaongoza!
Ningependa wadau tuorodheshe majimbo 120 hapa ambayo tunadhani chadema tukijipanga basi hatukosi 100 Mwaka 2015.
1.Arusha Mjini............ Hili litabaki CDM
2.Arumeru........ Litabaki
3. Karatu......... Litabaki
4. Mbeya Mjini.......litabaki
5. Kigamboni....... Aandaliwe mgombea kutoka maeneo ya mbagala, msafi, mtu wa watu, akirudi mgombea wa sasa wa CCM chadema itashinda
6. Mkuranga......... Adam Malima akigombea, CDM itashinda
7. Hai............Kamanda ubaki hapo!
8. Igunga........ Chama kirudi kikateke analau ahadi mbili tatu though hatukushinda
.................
Vunjo arudie John Mrema alafu chama kifanye mipango ya kufungua matawi kwa wingi. Huyu kijana ni zaidi ya Lyatonga
 
CDM wanaweza kuwa chama cha kwanza cha upinzani kulichukua maana Lyatonga c mpinzani

mkuu,hili jimbo liliwahi chukuliwa na lyatonga akiwa NCCR-mageuzi kama sijasahau pia kuna mbunge mwengine toka TLP aliwahi kulichukua huyu jamaa alikuwa katibu wao mwenezi pia aliwapa jengo la gorofa pale MANZESE,kabla hajajeuka gamba na kujaribu moshi mjini akatwapwa mbali kwenye kura za maoni ya GAMBA hope mwamkumbuka mr NGAWAIYA
 
mbona tulimweka mrema jr akamwagwa na mrema sr?

mkuu mrema jr si aligombea VUNJO? navyojua haya ni majimbo mawili tofauti kule m vijiji yupo mzee wakuhisi anasingiziwa kuwa ni mgonjwa ili apokwe unaibu waziri na mzungumzia DR CYRIL CHAMI aliyevamiwa kwake wakati fulani wezi wakatishia uhai wa mzazi wake..
 
kuna jimbo ambalo wananchi wake huwa wanapima nani mkweli na nani ni muongo kisha wanampa kura, sio jingine bali ni jimbo la moshi vijijini! kwa jinsi navyoelewa watu wa moshi vijijini chadema wakiweka nguvu kidogo sana wanachukua lile jimbo kama kumsukuma mlevi vile!

changamoto yangu ni kwamba lile jimbo ni potential na huwa hakuna propaganda, kama mnataka kujua watu hawa walivyo mwulizeni agustino lyatonga mrema! watu hawa wa moshi vijijini si sawa na arumeru au songea au morogoro au dodoma. wako tofauti kabisa wanaweza kukupa asilimia 90 ya kura kama una bahati na ukaeleweka kwenye kauli zako si kama za kina lusinde

chadema andaeni kichwa kwa ajili ya kulichukua hili jimbo, mbunge wa sasa hakuna anachokifanya tena ni mgonjwa

ndoto za mchana ukiwa macho hazijapata kuwa kweli ni bora kama ungeota wakati wa usingizi mzito usiku
 
We've to be realistic, there are places where CHADEMA might not get as big clout as they've been in the north and southern highlands.. Dodoma, na Lindi bado ni kugumu lakini wazee wa magwanda wakikomaa chama kitafika mbali... there has to be a strategy to redraw the Tanzania's political map! Hata US kaskazini wamekamata Democrats na kusini wamekamata Republicans.. Issue ni sera na utekelezaji wake! Kule kwa lusinde anakopeleka sera za matusi na wanamchagua wataendelea kumchagua tu kwa sasa, ila huko CHADEMA wanakoshinda na wakatekeleza ahadi zao, basi mambo yatawanyookea na wengine watafuata mkondo. Muhimu pia watu washiriki kutoa maoni kwenye kutafuta Katiba Mpya ili chaguzi ziwe za huru na haki na pia watu wakuteuliwa na Rais wapungue, vyama vipambane, tupate wakuu wa mikoa wa kuchaguliwa kama Governers wa hapa US, viongozi wawajibike kwa wananchi na siyo kwa raisi anayewapa ulaji kwa ushikaji! Namna hiyo kuna mikoa itasimama na kuna watakaotambaa, sasa vyama vya siasa ngoma itakuwa yao kucheza na kuamua kusuka au kunyoa!!
 
14.jimbo la Magu aandaliwe kamanda safi.....gamba aliepo ni kilaza choka mbaya..
15.Kamanda Magesa ajipange upya Busanda kiulaini atapeta
16.Shinyanga mjini CDM ni kwake pamoja na kuchakachuliwa...aandaliwe mrithi safi
17.Buchosa kamanda ajipange yuko safi uhakika ni kupeta....
 
Hili jimbo la Moshi vijijini liko complex kidogo. Muundo wake na ukubwa wake unakipa CCM urahisi wa kulichukua.
Haswa wakati Chami akionekana kama mtetezi mzuri wa waKibosho. Jimbo kama sijakosea linajumlisha Kibosho, Uru na Old Moshi. Sababu za kizamani na kiushindani kati ya makundi haya ya kichaga, Mkibosho wa zamani hatakubali kutawaliwa na mu-OldMoshi au mtu wa Uru. Wa Uru nao hawatajisikia kutawaliwa na m-oldMoshi and vise versa.
Huu upuuzi bado upo akilini mwa wazee wa kichaga. Jambo ambalo ni muhimu kufahamu ni kuwa Wakibosho ni wengi sana kupita hayo makundi mengine yote. Kwahiyo kama CDM itataka kulichukua kirahisi kwa kuanzia wampate kijana Makini Mkibosho.
Lifanyiwe mkakati, ni jimbo muhimu sana Kilimanjaro. Watu wa jimbo hilo la Moshi vijijini wanamezea mate sana mambo yanavyokwenda Moshi Mjini kwa Mzee Ndesa.
 
Jmushi1,

Absolutely kadi unaweza kuipata kabisa mkuu.Hadi leo hujachukua kadi ya chama?lol

Karibu sana CHADEMA mkuu Jmushi1 na wana JF ,tafadhali ukija kuchukua kadi njoo na wengine 15.Honestly,nimefurahi sana jinsi wana JF walivyo na hamasa ya kuingia majimboni 2015.Tuendelee kujenga chama na kueneza sera kwa njia yoyote at our disposal. Kweli upepo wa mabadiliko unavuma,ni kimbunga kweli kweli
Nakubaliana na hilo upepo mkali kabisa wa mabadiliko, chadema tu mshindwe.

Ukweli sina kadi, ila ningependa kuipata, je ni hadi nitakapotia timu ama naweza kuipata from here?

Thanks in advance.
 
Na makete nao tumeshawasha moto wa mageuzi,Lakini kunavizee fulani vilaza wamechana bendera yetu nakutupa choo,Vijana tumeshaliwasilisha swala hili police limeanza kushughulikiwa,Mkitaka kulijua swala hili mtafuteni m/kiti Chadema wilaya ya makete.Nawasilisha

jingine ni Bukoba Vijijini.......mbunge wa ccm mhe. Lweikiza kachoka hovyo
 
Mipango ya chama chochote cha siasa ni kusonga mbele zaidi ya pale ilipofikia uchaguzi uliopita, na hatimaye kufikia lengo kuu la kushika dola ili kutekeleza ilani yake kwa wananchi! Ilipofika sasa Chadema ni hatua nzuri na ni dhahiri ya kwamba wananchi wanadhani inaweza kuwa ndio chama mbadala cha kuwaongoza!
Ningependa wadau tuorodheshe majimbo 120 hapa ambayo tunadhani chadema tukijipanga basi hatukosi 100 Mwaka 2015.
1.Arusha Mjini............ Hili litabaki CDM
2.Arumeru........ Litabaki
3. Karatu......... Litabaki
4. Mbeya Mjini.......litabaki
5. Kigamboni....... Aandaliwe mgombea kutoka maeneo ya mbagala, msafi, mtu wa watu, akirudi mgombea wa sasa wa CCM chadema itashinda
6. Mkuranga......... Adam Malima akigombea, CDM itashinda
7. Hai............Kamanda ubaki hapo!
8. Igunga........ Chama kirudi kikateke analau ahadi mbili tatu though hatukushinda
.................

9. Kigoma Kaskazini
10. Kigoma kusini
11. Kasulu Mashariki
12. Kasulu Magharibi
13. Muhambwe
14. Kasulu mashariki

Yote yawezekana kama tutakuwa tunatatua matatizo kwa muda na kuwapeleka si tu watu wanaoweza bali VIJANA wanaoweza
 
Jimbo gani? Njombe Kusini kwa Makinda? Njombe Magharibi kwa naibu waziri wa maji Gerson Lwenge? Au Njombe kaskazini kwa Deo Sanga a.k.a jah people?. Anyway kwa upande wa njombe kwa ujumla wake tunamtegemea mzee wetu Thomas Nyimbo. Hadi sasa amekwishafanya mambo makubwa hasa katika jimbo la Njombe Magharibi. Wito wangu watu hasa vijana wajitokeze kwa wingi kwenye majimbo yote ya mkoa wa Njombe, wananchi wanaipenda sana CHADEMA lakini bado hajatokea mpiganaji wakuteka hisia zao.
Naongelea Njombe Kaskazini. Huko ndiko ambako mwaka juzi chadema walimsimamisha Nyagawa akapata kura nyingi lakini hazikutosha. Hofu kubwa ya wananchi ilikuwa ni kushindwa kwake kuwa na msimamo.
 
nduu/mamaya,

Hilo jina lako inaonekana wewe mi mzee wa Mashati au Useri,lol

Anyaways,jamani tujitahidi kumsaidia mbunge wetu atimize wajibu na majukumu yake ipasavyo.muda ulioko mbele yetu ni mdogo sana.Tusitoe mwanya kwa CCM kuchukua jimbo.Wananchi wa rombo ni watu wenye misimamo thabiti na wanajua wanachotaka.Ni wapole,wakarimu lakini hawana chembe ya mzaha linapokuja suala la maslahi ya jimbo lao

Wananchi wa ukanda wa chini kuanzia Mengwe chini,ibukoni,kirachi hadi kibaoni wana tatizo sugu la maji.Tuungane pamoja tuunganishe nguvu zetu kutatua kero hii.Wananchi wanahitaji soko la mazao yao na kuhakikishiwa thamani ya mazao yao

Rombo ina potentials kubwa za kiuchumi.Strategiacally,location yake kijiografia ni fursa Tosha kwa Wananchi wa Rombo kujikwamua kiuchumi na kijamii.pato la mwananchi wa Rombo ni chini ya 0.6 $.hii ni changamoto kwa wadau wote wa Rombo

Barabara iliyojengwa inahitaji kutukwamua kiuchumi zaidi na ni kiunganishi muhimu hasa kwa biasahara za mpakani na ni mojawapo wa miundombinu muhimu kuelekea harakati za viwanda vidogo vidogo na kilimo hivyo kukuza ajira na uwezo wa kununua(purchasing power).Kodi na ushuru usioeleweka ni kitanzi kwa wafanyabiashara wa Rombo.Hili tunahitaji kupambana na nalo




Hiyo kazi mnayofanya ya kuchafua majina ya watu haitafanikiwa. Nashukuru kwa kutambua lengo letu ni kuifuta CCM katika ramani ya kisiasa ifika 2015.Ila nakupa taarifa,siogopi mwanasiasa yeyote.Usijenge mazingira ya kuwatia watu hofu

Cha muhimu zaidi,Rombo tunaye mbunge na tumuunge mkono
Huyo Mbunge wako wa Rombo anafanya nini mpaka sasa katika kutumia hizo fursa za biashara huko Mipakani kunufaisha watu wake?
 
9. Kigoma Kaskazini
10. Kigoma kusini
11. Kasulu Mashariki
12. Kasulu Magharibi
13. Muhambwe
14. Kasulu mashariki

Yote yawezekana kama tutakuwa tunatatua matatizo kwa muda na kuwapeleka si tu watu wanaoweza bali VIJANA wanaoweza

15. Ileje naenda mwenyewe 2015,sitaki mchezo nikipata oparation sangara 1 tu 2015 nangoa nanga
 
Mipango ya chama chochote cha siasa ni kusonga mbele zaidi ya pale ilipofikia uchaguzi uliopita, na hatimaye kufikia lengo kuu la kushika dola ili kutekeleza ilani yake kwa wananchi! Ilipofika sasa Chadema ni hatua nzuri na ni dhahiri ya kwamba wananchi wanadhani inaweza kuwa ndio chama mbadala cha kuwaongoza!
Ningependa wadau tuorodheshe majimbo 120 hapa ambayo tunadhani chadema tukijipanga basi hatukosi 100 Mwaka 2015.
1.Arusha Mjini............ Hili litabaki CDM
2.Arumeru........ Litabaki
3. Karatu......... Litabaki
4. Mbeya Mjini.......litabaki
5. Kigamboni....... Aandaliwe mgombea kutoka maeneo ya mbagala, msafi, mtu wa watu, akirudi mgombea wa sasa wa CCM chadema itashinda
6. Mkuranga......... Adam Malima akigombea, CDM itashinda
7. Hai............Kamanda ubaki hapo!
8. Igunga........ Chama kirudi kikateke analau ahadi mbili tatu though hatukushinda
.................

9.Songea.........Hili jimbo linahitaji mtu makini zaidi CDM tutachukua.Hapa kulinda kura ndio iwe priority
10.Peramiho.....Hapa napo tutachukua tukiwa na mtu makini.Jenista akirudi tena jimbo litakuwa CDM.
11.Njombe ya Gerson Lwenge..Hapa Nyimbo akiwa makini tutachukua CDM
12.Mbeya Vijijini....Tutachukua
13.Kigoma Mjini.....Tutachukua
14.Segerea.....Tutachukua
15.Kibaha mjini....Hapo tutachukua
16.kilombero....Tutafute mbadala wa Marehem Regia Mtema
endelea na orodha
 
morogoro kusini ni kama hakuna mbunge vile............................ Njooni makamanda mpige operation ondoa magamba! Kiulaiiini tu!!
 
Back
Top Bottom