Mbatia ndiye Mbunge wa jimbo hilo.
Zipo Tetesi zinasema kama UKAWA wataipa CHADEMA(John Mrema) kugombea ubunge Vunjo basi Mbatia atakuja kugombea ubunge wa jimbo jipya la Bunju/Kawe(Ambalo limetokana na jimbo la Kawe lililogawanywana kuwa majimbo mawili). Na kama Mbatia atagombea ubunge Vunjo, basi majimbo yoyote ya kawe kwenda CHADEMA.
UKAWA hawaelewani Vunjo.
Hali yA baadae kwa chadema Vunjo kizungumkuti.